Aliyegongwa na mwendokasi aruhusiwa, aliingia mzee mweusi, ila katoka kijana mweupe, tunaomba ufafanuzi

Huyo Osam (aliyegongwa na mwendo kasi) aliyeruhusiwa ni yeye 100%. Nendeni Global online youtube mtawaona ndugu wakiwemo baba yake, mtoto wake, wadogo zake, majirani, yeye mwenyewe n.k wamehojiwa.

Waandishi wa Global Online Tv waliwahi mapema kumsubiri mgonjwa nyumbani kwake kumpokea na kufanya mahojiano.

Wakati anashuka, kusaidiwa kwenda kwake, mazingira ya nyumbani, majirani, ndugu, jamaa, marafiki, watoto (anao watatu), dada mwandishi n.k wanaonekana wazi kwenye clip ya dakika 14 sekunde 40.

Sasa Serikali ifiche kuwa sio yeye ili iweje?

Mleta uzi jitafakari, inawezekana nati na tredi za kichwa chako zinahitilafu. Hii ni pamoja na waliochangia negatively huenda nao wana matatizo kichwani.

Kila kitu kipo wazi youtube mkaangalie halafu mrudishe mrejesho humu.

Jitu linakurupuka kutoka huko madongo kuinama na kusema mtu aliyegongwa sio yeye.
 
Hebu tupieni kile kiclip tutazame kwa kina... au hizo picha za huyo mtu anaeingia
 
ile impact lazima uwe kijana na kama ulikua mweusi ni lazima uwe mweupe
 
Huyo Osam (aliyegongwa na mwendo kasi) aliyeruhusiwa ni yeye 100%. Nendeni Global online youtube mtawaona ndugu wakiwemo baba yake, mtoto wake, wadogo zake, majirani, yeye mwenyewe n.k wamehojiwa.

Waandishi wa Global Online Tv waliwahi mapema kumsubiri mgonjwa nyumbani kwake kumpokea na kufanya mahojiano.

Wakati anashuka, kusaidiwa kwenda kwake, mazingira ya nyumbani, majirani, ndugu, jamaa, marafiki, watoto (anao watatu), dada mwandishi n.k wanaonekana wazi kwenye clip ya dakika 14 sekunde 40.

Sasa Serikali ifiche kuwa sio yeye ili iweje?

Mleta uzi jitafakari, inawezekana nati na tredi za kichwa chako zinahitilafu. Hii ni pamoja na waliochangia negatively huenda nao wana matatizo kichwani.

Kila kitu kipo wazi youtube mkaangalie halafu mrudishe mrejesho humu.

Jitu linakurupuka kutoka huko madongo kuinama na kusema mtu aliyegongwa sio yeye.
Alikuwa mzee, kawa kijana, wasiwasi ulikuwa hapo, sasa tusihoji?
 
kwa hiyo wamempa maji mengi kama kigosi?anyway,my kantri,my home hakuna namna
 
Kamera iliyopiga hiyo picha juu imesetiwa filter za kutosha, nimetoka kuangalia global TV hakika huyu ni yeye Kabisa aliyepata ajali
 
Alikuwa mzee, kawa kijana, wasiwasi ulikuwa hapo, sasa tusihoji?
Mzee? Unabisha !!! Je, ni baba yako/kaka yako/jirani yako/mdogo wako/mjomba wako ambapo ulikuwa unamjua kabla au baada ya ajali? What's the definition of kijana?

Kuwa seriazi basi wakati mwingine !!!
 
Kila mtu alimuona kwenye video ya ajali, na taswira tuliyopata ilikuwa ya mzee, hata kama tuliona vibaya, ila ndio hivyo tulivyoona
 
Back
Top Bottom