Leo nimeamua kuendeleza utafti wangu kuchunguza nani aliyegundua kwamba lazima pakiti ya condom zikae tatu.
Nahisi utafiti wake umepitwa na wakati. Kwanza Mimi mwenyewe tangu nizijue condom zijawahi kuzimaliza zote tatu.
Kwanza malengo ya huyu mtu nahisi ilikuwa ni kuuwa fikra za vijana wa kiafrika, kwanini kutuwekea kondom tatu? Inamaana alitaka tutumie muda mwingi kuwaza ngono kuliko kuwaza maendeleo?
Hivyo kwa kulitambua hili niko naendeleza ubunifu wangu ili kuwe na condom moja tu, ambayo haitaruhusu uume kulala baada ya bao moja. Hivyo itamfanya mtumiaji aunganishe bao zote hadi atakapochoka mwenyewe(One4All).
Condom hii ninayoibuni itakuwa inauwezo wa kuzuia au kukata mawasiliano ya ubongo na uume ili ubaki umesimama hata baada ya bao moja.
Kama kuna maboresho mengine naomba ushauri wenu wadau wenzangu wa ngono kufanikisha hili.