Aliyegundua Vijiti vya kuzuia mimba ametuhujumu wanaume

Kikawaida ukitumia izo contraceptive pills kwa let's say miaka miwili mfululizo mpaka mitano.

Ukitaka kuona mziki acha kutumia hormones zinakua inbalance na utasumbuka mno kupata mtoto hata ujauzito
Duhh kumbe! Hivi mkuu, unaposema imbalance hormornes unakuwa na maana gani?

Hapo best way ya kutumia ni calendar au condoms au ku abstain kabisa! Maana hizo njia za mzungu kila moja ina side effects kabambe!
 
Hormone imbalance kwa wanawake ni hali ambayo homoni za mwili zinakuwa zimezidi sana, zimepungua sana, au hazipo kwenye uwiano sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…