Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
Ngono ni hatari kwa usalama wa binadamu
All in all, hayo ma uzazi wa mpango sio mazuri kabisa kabisa njia nzuriii ni kalenda, withdrawal of penis before ejaculation, kondomu kupunguza UTAMU.Mbona issue kubwa ina base kwenye arousal wakati inawezekana shida ipo kwenye menses pia!
Watumie kinga tu wajichunge sana!All in all, hayo ma uzazi wa mpango sio mazuri kabisa kabisa njia nzuriii ni kalenda, withdrawal of penis before ejaculation, kondomu kupunguza UTAMU.
MasikitikoWatumie kinga tu wajichunge sana!View attachment 3585303
Ili kujaza watoto wa mitaani? Kuweni na huruma, hofu na utu basi khaaa.Tunatakiwa tuijaze Dunia kuhusu maisha mbele kwa mbele itafahamika
Sio hatari kwenye mahusiano maalumu maana ndio mfumo pekee wakuzalianaNgono ni hatari kwa usalama wa binadamu
kwa mtu wa uchumi wa kati haina shida kuzaa sanaIli kujaza watoto wa mitaani? Kuweni na huruma, hofu na utu basi khaaa.
Ni kweli,lakini ikitumika kwa njia ambazo tunapenda kuzitumia ina majanga makubwa kuliko tunavyodhani,kuna madhara yanaonekana kwa ulimwengu wa nyama na madhara yasionekana katika Ulimwengu wa nyama(maana Ulimwengu wa roho nayo ni hatari sana).PeriodSio hatari kwenye mahusiano maalumu maana ndio mfumo pekee wakuzaliana
Weka humu 🗑️Wanatuhujumu wanaume , dawa ya kumdhibiti mwanamke ni kumpiga mimba kama zote