Aliyegundua Vijiti vya kuzuia mimba ametuhujumu wanaume

Mbona issue kubwa ina base kwenye arousal wakati inawezekana shida ipo kwenye menses pia!
All in all, hayo ma uzazi wa mpango sio mazuri kabisa kabisa njia nzuriii ni kalenda, withdrawal of penis before ejaculation, kondomu kupunguza UTAMU.
 
Sio hatari kwenye mahusiano maalumu maana ndio mfumo pekee wakuzaliana
Ni kweli,lakini ikitumika kwa njia ambazo tunapenda kuzitumia ina majanga makubwa kuliko tunavyodhani,kuna madhara yanaonekana kwa ulimwengu wa nyama na madhara yasionekana katika Ulimwengu wa nyama(maana Ulimwengu wa roho nayo ni hatari sana).Period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…