Aliyehoji uraia wa Askofu Niwemugizi kuzikwa na Askofu Niwemugizi

Yaani hii ni bab kubwa jamani..mtoa mada umenicheksha hiyo line ya mwisho nimecheka mnooo
 
Malipo ni hapa hapa chini ya jua
Malipo gani Tena? Kwahiyo askofu hatokufa kwakuwa alihojiwa uraia wake na aliemhoji amekufa? Kifo ni fumbo, kifo ni kwaajili ya viumbe hai wote, adui akifa sio guarantee wewe hatokufa, kifo sio kwaajili ya uwachukiao pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…