Aliyehoji uraia wa Askofu Niwemugizi kuzikwa na Askofu Niwemugizi

Aliyehoji uraia wa Askofu Niwemugizi kuzikwa na Askofu Niwemugizi

Usitake kumsemea Mhasham baba Askofu. Huyo hana kinyongo Kama Kaka yenu wa Ubeluiji. Suala la Askofu lilikua suala la kisheria, na kesho kutwa subiri usikie atakavyomsifia Magu.
 
Malipo gani Tena? Kwahiyo askofu hatokufa kwakuwa alihojiwa uraia wake na aliemhoji amekufa? Kifo ni fumbo, kifo ni kwaajili ya viumbe hai wote, adui akifa sio guarantee wewe hatokufa, kifo sio kwaajili ya uwachukiao pekee
Nani kasema askofu hatafufa? Askofu huyu akifa atakumbukwa kwa tendo jema. Huyo sultani wenu hakujali haki
 
Usitake kumsemea Mhasham baba Askofu. Huyo hana kinyongo Kama Kaka yenu wa Ubeluiji. Suala la Askofu lilikua suala la kisheria, na kesho kutwa subiri usikie atakavyomsifia Magu.
Ni kweli Baba Askofu hana kinyongo. Mwenye kinyongo ni huyo aliyetwaliwa. Mtu gani hata katika mauti yake bado kuna watu wanaswekwa jela kwa kusema tu anaumwa. Hapa mtoa mada hajamsemea Baba Askofu bali kamsema huyo katili wenu
 
Siyo kila mtu ana maadui wa kujitakia, sasa watoto wachanga maadui zao ni wazazi wao?? Akili gani hizi tena??
Unaniuliza mie akili gani badala umuhoji mleta mada?@
 
Huyu kaka Aida namwombea awe na moyo mvumilivu. Majitoleo yake yatapokelewa na Mungu na tuzo pia ni hapahapa duniani. Lakini huyu aliyezoea kusema "Msema kweli ni mpenzi wa Mungu" hakupenda kusikia ukweli - bila shaka - ukweli unauma
Hekima za mwanadamu Ni upumbavu mbele za Mungu
 
Kweli kabisa hata Yesu Ni adui wa shetani alimtangulia.
Sasa na wale waliokufa huko kibiti walimtangulia Nani? Na watoto wachanga wanaokufa wanawatungulia maadui wazazi wao bila shaka.
Yesu ni adui wa haki? Hao watoto malaika ni adui wa haki? Lakini huyo malaika wenu aliyetangulia alikuwa ni adui mkubwa sana wa haki? Haihitaji PHD kujua kama siyo mnufaika wake
 
Yesu ni adui wa haki? Hao watoto malaika ni adui wa haki? Lakini huyo malaika wenu aliyetangulia alikuwa ni adui mkubwa sana wa haki? Haihitaji PHD kujua kama siyo mnufaika wake
Unajadili kutangulia kufa au haki?
 
Aiseeeeeeee. Ni funzo kwa viongozi wote Tanzania watakaofuata baada ya huyu tunayemzika. Tujifunze kutenda kwa haki maana unaweza ukatenda mema ila maovu wachache makubwa yakaharibu mema yote. Lete mvinyo
 
Kwa hiyo Askofu yeye hatokufa? Au yeye atakuwa wa mwisho kufa?
Ndiyo ujue unapotesa watu wasiyo na hatia unasahau kuwa pua imetizama chini kutuonya kuwa sisi ni wa mavumbini. Hivyo tusitumie viungo vingine kwa maasi. Siamini macho na masikio yangu. Ndoto hii
 
Nani kasema askofu hatafufa? Askofu huyu akifa atakumbukwa kwa tendo jema. Huyo sultani wenu hakujali haki
Kweli kabisa na hata sasa anaombolezwa na walionyimwa haki zao....
 
Ni kweli Baba Askofu hana kinyongo. Mwenye kinyongo ni huyo aliyetwaliwa. Mtu gani hata katika mauti yake bado kuna watu wanaswekwa jela kwa kusema tu anaumwa. Hapa mtoa mada hajamsemea Baba Askofu bali kamsema huyo katili wenu
Hongera kwa kuwa malaika mchungza roho za wanadamu
 
Askofu Niwemugizi alipotumia uhuru wake wa kutoa maoni, kufumba na kufumbua, makachero wakamvaa na kumpora pasi ya kusafiria. Wakauliza, "Wapi kaburi la bibi ya babu yako?"

Sasa kabla Baba Askofu hajaanza ibada ya mazishi, mrudishieni kwanza pasi yake ya kusafiria.

Soma hapa:

1) Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake

2) Uraia wa Askofu Severine Niwemugizi (mkosoaji wa Serikali) unaendelea kuchunguzwa

3) Uhamiaji wamuhoji mdogo wake Niwemugizi

4) Askofu Niwemugizi, asitisha Misa na Ibada zote Jimbo la Rulenge, awataka waumini Wasali Majumbani pia Wajikinge na Corona
Eeeenh Heee,

Mambo kama haya yanapokumbushwa katikati ya juhudi kubwa za kumsafisha marehemu..., !
 
Kweli kabisa na hata Sasa anaombolezwa na walionyimwa haki zao....
Angalia madikteta wanavyozi kwa hofu, hakuna upendo hapo
 
Attachments

  • stalin.jpg
    stalin.jpg
    121 KB · Views: 2
Back
Top Bottom