Aliyehoji uraia wa Askofu Niwemugizi kuzikwa na Askofu Niwemugizi

Aliyehoji uraia wa Askofu Niwemugizi kuzikwa na Askofu Niwemugizi

Malipo gani Tena? Kwahiyo askofu hatokufa kwakuwa alihojiwa uraia wake na aliemhoji amekufa? Kifo ni fumbo, kifo ni kwaajili ya viumbe hai wote, adui akifa sio guarantee wewe hatokufa, kifo sio kwaajili ya uwachukiao pekee
Leo ndiyo mmejua hayo? Asante Mungu
 
Wananchi wanyonge watakuja kukuvamia hapa ukimbie
Kuna wanyonge wanne wanazikwa Kimara leo sababu ya uzembe WA watu. Hata ndugu hawajui walikufaje? Housegirl haonekani. Funzo tusipende kushadadia Mambo tutaingia kwenye matatizo kuna familia zina Mambo mazito Sana.
 
Mama kubwa... Wanyonge ni watu waajabu sana... Ukitumia logic huwezi patana nao
 
unafiki umetujaa, Magu amepata alichotaka, Mungu hawezi kuwatuoa watu wake ni suala la muda tu na ndicho kilichotokea
Angalia video za Wananchi ulikokuwa ukipita mwili , Wananchi wamechakaa Hadi huruma, huyu Angekaa miaka 20 waliyotaka kumwongeza watu wangevaa magunia na Kula udongo.
 
Askofu Niwemugizi alipotumia uhuru wake wa kutoa maoni, kufumba na kufumbua, makachero wakamvaa na kumpora pasi ya kusafiria. Wakauliza, "Wapi kaburi la bibi ya babu yako?"

Sasa kabla Baba Askofu hajaanza ibada ya mazishi, mrudishieni kwanza pasi yake ya kusafiria.

Soma hapa:

1) Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake

2) Uraia wa Askofu Severine Niwemugizi (mkosoaji wa Serikali) unaendelea kuchunguzwa

3) Uhamiaji wamuhoji mdogo wake Niwemugizi

4) Askofu Niwemugizi, asitisha Misa na Ibada zote Jimbo la Rulenge, awataka waumini Wasali Majumbani pia Wajikinge na Corona
Kama ibada ya mazishi ya kumuaga DIKTETA MAGUFULI ingekuwa kama Bongo Fleva, ingependeza kuona collabo ya Askofu Severin Niweemugizi wa RC na Askofu Benson Bagonza wa KKKT.

Maana hawa Maaskofu wa Ngara-Rulenge na Karagwe ni kati ya watumishi wa Mungu wachache ambao WALIKATAA unafiki na wali RISK hata uhai wao kwa ajili ya kutetea haki.

Kwa wengine ninao wakumbuka Ni;
Askofu Shoo (KKKT -Kilimanjaro)
Askofu Emmanuel Mwamakula Bandekile (Moravian Uamsho)

Askofu Ngalelikumtwa (RC - Iringa)
Askofu Mwingira (Efata)
Askofu Ruwaichi (RC -Dar)

Kama unawajua wengine waongeze tu, ili tuwafariji kwa kuwatambua kwa kazi zao ngumu
 
Petro alimkana Yesu kwa hofu ya Mayahudi. Marehemu alitesa watu kwa hofu ya nani?
Yesu alitabiri petro atamkana hivo petro alikua akitimiza unabii, maisha ya mwanadam yapo katka unabii ndo maana mtumishi wa mungu/mtu mwenye kujua maandiko hawezi kua na akili za kijuha kama mleta mada na baadhi ya wachangiaji.
 
yesu alitabiri petro atamkana hivo petro alikua akitimiza unabii, maisha ya mwanadam yapo katka unabii ndo maana mtumishi wa mungu/mtu mwenye kujua maandiko hawezi kua na akili za kijuha kama mleta mada na baadhi ya wachangiaji
Maelezo yako hayaakisi hoja iliyotolewa
 
Alitaka kumrestisha mwenzake Mungu akamrestisha yeye. Majigambo yooote kimyaaaaaaaa
 
Kuzika ni kazi yake Askofu na serikali kuhoji uraia ni kazi yao kwa hiyo hakutaka ahojiwe uraia kwa kuwa yeye ni Askofu au nnataka kusema hatakiwi kufanya kazi yake ya kuzika kwa sababu ya kuhojiwa uraia?

Ya kaisari yabaki kwa kaisari na ya Mungu yabaki kwa Mungu Yesu kutamka hivyo hakuwa mjinga .Hiyo ni kanuni ya milele
 
Askofu Niwemugizi alipotumia uhuru wake wa kutoa maoni, kufumba na kufumbua, makachero wakamvaa na kumpora pasi ya kusafiria. Wakauliza, "Wapi kaburi la bibi ya babu yako?"

Sasa kabla Baba Askofu hajaanza ibada ya mazishi, mrudishieni kwanza pasi yake ya kusafiria.

Soma hapa:

1) Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake

2) Uraia wa Askofu Severine Niwemugizi (mkosoaji wa Serikali) unaendelea kuchunguzwa

3) Uhamiaji wamuhoji mdogo wake Niwemugizi

4) Askofu Niwemugizi, asitisha Misa na Ibada zote Jimbo la Rulenge, awataka waumini Wasali Majumbani pia Wajikinge na Corona
Mungu ni fundi.
 
Fumbo la imani.... Askofu sasa upo huru!!
Yuko huru kuongelea mambo ya dini siku nyingi mbona hakuna wa kumsumbua
au unasema yuko huru sasa kuiponda serikali na kuitukana?

Uhuru upi unaoongelea?
 
Jamani mnafanya niwemugizi azuiriwe kuuongoza ibada naona hapa Leo sala kaongoza padri ovan mwenge.
 
Back
Top Bottom