Aliyehoji uraia wa Askofu Niwemugizi kuzikwa na Askofu Niwemugizi

Itaondoa kuwa hakuhoji urai wake. Itaondoa kuwa hakuhoji kuhusu mashaka ya maaskofu hawa ikiwemo Papa kuikimbia madhabahu kwa hofu ya corona na kuamua kutegemea na kumcha barakoa kuliko Bwana Yesu.

Yuko jirani yangu alizikwa na Padre mtaliano akisindikizwa na masister Magoa weusi wa India. Je liko tatizo hapo.

Magufuli ni Shujaa Imfia Imani kuliko hawa Maaskofu ambao wengine ni mashushu wa Jesuits na wenye ajenda za uchumia tumbo zaidi huku Bwana Yesu akitumika tu kama kibebeo cha kutimiza agenda na matamanio yao .
 
Askofu Niwemugizi alipotumia uhuru wake wa kutoa maoni, kufumba na kufumbua, makachero wakamvaa na kumpora pasi ya kusafiria. Wakauliza, "Wapi kaburi la bibi ya babu yako?"

Sasa kabla Baba Askofu hajaanza ibada ya mazishi, mrudishieni kwanza pasi yake ya kusafiria.

Soma hapa:

1) Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake

2) Uraia wa Askofu Severine Niwemugizi (mkosoaji wa Serikali) unaendelea kuchunguzwa

3) Uhamiaji wamuhoji mdogo wake Niwemugizi

4) Askofu Niwemugizi, asitisha Misa na Ibada zote Jimbo la Rulenge, awataka waumini Wasali Majumbani pia Wajikinge na Corona
What goes around..........
 
Kumbe! ndio maana ya MUNGU ni mwema. Kama anaweza akatae basi kuzikwa na "mhamiaji haramu". Binadamu tujifunze kuwapenda wenzetu kama tunavyojipenda wenyewe. Hujui nani atakuzika.
 
Hawachelewi umbadilisha mzikaji kwa ujumbe wako huu. Ulipaswa kuuhifadhi kwanza hadi azikwe.
 
Itaondoa kuwa hakuhoji urai wake. Itaondoa kuwa hakuhoji kuhusu mashaka ya maaskofu hawa ikiwemo Papa kuikimbia madhabahu kwa hofu ya corona na kuamua kutegemea na kumcha barakoa kuliko Bwana Yesu.

Yuko jirani yangu alizikwa na Padre mtaliano akisindikizwa na masister Magoa weusi wa India. Je liko tatizo hapo.

Magufuli ni Shujaa Imfia Imani kuliko hawa Maaskofu ambao wengine ni mashushu wa Jesuits na wenye ajenda za uchumia tumbo zaidi huku Bwana Yesu akitumika tu kama kibebeo cha kutimiza agenda na matamanio yao .
Brainwashed
Kama tumtegemea Sana Mungu tufunge hospital zote na hizo pesa tupelekekwenye maendeleo.
 
Kumtegemea Mungu katika mazingira yapi? Barakoa mbimbili USA ni sherika yenye adhabu. Huduma bora za kiafya pengine kuliko ulimwenguni kote. Wamekufa laki 6 sasa hujiulizi tu kulikoni.

Utegemee hizi barakoa zetu zinazotengenezwa na viwanda vya mapocholivna wachina wasio na hofu ya mungu wa abudu ngombe butha na baali. Kuweka virusi kwenye na barakoa kwao wao ni mbinu ya kukisa kipato.

Chukua hatua na tahadhari mtegemee Mungu na Bwana Yesu huku ukimuuliza yana maana gani mambo haya? Yeye ni mwingi wa neema na Upendo wa Agape.
 
Bishop kajaribu kumsafisha, kasema ati ni Magufuli aliyewatuma migration kumrudishia pasi yake. Halafu akajing'ata ulimi, walimrudishia baada ya kukaa nayo kwa mwaka mzima!!!!
Dikteta hasafishiki
 
Viongozi wengi wa dini waliufyata isipokuwa wachache sana ambao hawakutaka kuwa wanafiki akiwemo huyo Niwemugizi, Mwamakula Hawa walikuwa tayari hata kufa ilimradi wanasimamia kweli na haki.

Bila kumsahau Shekhe Issa Ponda hakika ni mpenda Haki na usawa.

Mungu azidi kuwajalia maisha marefu maana Hawa watu ni muhimu sana kwa Taifa letu ktk kupigania Haki na uongozi bora wa sheria.
 
Wale viongozi wa dini walokuwa kimya waendelee kukaa kimya hivyo hivyo siku zote !

Haturajii kuwasikia wakianza kuleta za kuleta kianzia sasa na huko tuendako!

Waoga wote waendelee kukaa kimya!

RIP Pastor C. Mtikila.
 
Itaondoa kuwa hakuhoji urai wake. Itaondoa kuwa hakuhoji kuhusu mashaka ya maaskofu hawa ikiwemo Papa kuikimbia madhabahu kwa hofu ya corona na kuamua kutegemea na kumcha barakoa kuliko Bwana Yesu.

Yuko jirani yangu alizikwa na Padre mtaliano akisindikizwa na masister Magoa weusi wa India. Je liko tatizo hapo.

Magufuli ni Shujaa Imfia Imani kuliko hawa Maaskofu ambao wengine ni mashushu wa Jesuits na wenye ajenda za uchumia tumbo zaidi huku Bwana Yesu akitumika tu kama kibebeo cha kutimiza agenda na matamanio yao .
Rubbish 🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom