Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
What goes around..........Askofu Niwemugizi alipotumia uhuru wake wa kutoa maoni, kufumba na kufumbua, makachero wakamvaa na kumpora pasi ya kusafiria. Wakauliza, "Wapi kaburi la bibi ya babu yako?"
Sasa kabla Baba Askofu hajaanza ibada ya mazishi, mrudishieni kwanza pasi yake ya kusafiria.
Soma hapa:
1) Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake
2) Uraia wa Askofu Severine Niwemugizi (mkosoaji wa Serikali) unaendelea kuchunguzwa
3) Uhamiaji wamuhoji mdogo wake Niwemugizi
4) Askofu Niwemugizi, asitisha Misa na Ibada zote Jimbo la Rulenge, awataka waumini Wasali Majumbani pia Wajikinge na Corona
Kumbe! ndio maana ya MUNGU ni mwema. Kama anaweza akatae basi kuzikwa na "mhamiaji haramu". Binadamu tujifunze kuwapenda wenzetu kama tunavyojipenda wenyewe. Hujui nani atakuzika.Askofu Niwemugizi alipotumia uhuru wake wa kutoa maoni, kufumba na kufumbua, makachero wakamvaa na kumpora pasi ya kusafiria. Wakauliza, "Wapi kaburi la bibi ya babu yako?"
Sasa kabla Baba Askofu hajaanza ibada ya mazishi, mrudishieni kwanza pasi yake ya kusafiria.
Soma hapa:
1) Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake
2) Uraia wa Askofu Severine Niwemugizi (mkosoaji wa Serikali) unaendelea kuchunguzwa
3) Uhamiaji wamuhoji mdogo wake Niwemugizi
4) Askofu Niwemugizi, asitisha Misa na Ibada zote Jimbo la Rulenge, awataka waumini Wasali Majumbani pia Wajikinge na Corona
BrainwashedItaondoa kuwa hakuhoji urai wake. Itaondoa kuwa hakuhoji kuhusu mashaka ya maaskofu hawa ikiwemo Papa kuikimbia madhabahu kwa hofu ya corona na kuamua kutegemea na kumcha barakoa kuliko Bwana Yesu.
Yuko jirani yangu alizikwa na Padre mtaliano akisindikizwa na masister Magoa weusi wa India. Je liko tatizo hapo.
Magufuli ni Shujaa Imfia Imani kuliko hawa Maaskofu ambao wengine ni mashushu wa Jesuits na wenye ajenda za uchumia tumbo zaidi huku Bwana Yesu akitumika tu kama kibebeo cha kutimiza agenda na matamanio yao .
Brainwashed
Kama tumtegemea Sana Mungu tufunge hospital zote na hizo pesa tupelekekwenye maendeleo.
Mwisho wa ubaya ni aibu.shida iko wapi,kila mmoja anatimiza wajibu wake apo.
Rubbish 🚮🚮🚮Itaondoa kuwa hakuhoji urai wake. Itaondoa kuwa hakuhoji kuhusu mashaka ya maaskofu hawa ikiwemo Papa kuikimbia madhabahu kwa hofu ya corona na kuamua kutegemea na kumcha barakoa kuliko Bwana Yesu.