Aliyehongwa ubalozi na kusema Katiba Mpya sio muhimu leo anasema hayupo tayari kuhongwa?

Aliyehongwa ubalozi na kusema Katiba Mpya sio muhimu leo anasema hayupo tayari kuhongwa?

Ubakaji na Uuaji ni Uhalifu
Waarabu ni Wauaji na Wahalifu
Kataa Uhalifu

Kataa Waarabu
Historia ni somo linalohusu mambo yaliyopita.

Kwa mfano wakati wa "mfecane" Wangoni walifanya kila aina ya atrocities je leo hii 2023 bado tuwachukie Wangoni?

Hili Jukwaa ni la Great thinkers usigeuze kuwa jukwaa la Manazi wa 2023.

Tuupinge ubaguzi wa aina zote
 
Sasa hivi kabakisha Dkt. Slaa.
Chuo nacho kiki- revoke napo msala walahi
Udokita wa kusoma bibilia hata Mie nikikaza naupata ndani ya miezi mitatu tu, kanisa lilivyo mvua upadre Kwa skendo za uzinzi lilipaswa limvue na udaktar wa bible!!
 
Hata leo Slaa akihongwa tu anatugeuka na kutusimanga
 
Alipoona hakubaliani na kina Mbowe 2015, angekaa kando tu. Angebaki na heshima yake...
Ila ndio hivyo tena njaa haimpendezi mtu.
 
Back
Top Bottom