Kweli Slaa ni nyoka, wala msumuamini, ila kwa hili la bandari,tuenende naye kwa tahadhaliSlaa alituangusha vibaya sisi wapinzani kwa kukubali kupokea vipande 30 vya fedha kutoka kwa watesi wetu yaani ccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Slaa ni nyoka, wala msumuamini, ila kwa hili la bandari,tuenende naye kwa tahadhaliSlaa alituangusha vibaya sisi wapinzani kwa kukubali kupokea vipande 30 vya fedha kutoka kwa watesi wetu yaani ccm.
Historia ni somo linalohusu mambo yaliyopita.Ubakaji na Uuaji ni Uhalifu
Waarabu ni Wauaji na Wahalifu
Kataa Uhalifu
Kataa Waarabu
Udokita wa kusoma bibilia hata Mie nikikaza naupata ndani ya miezi mitatu tu, kanisa lilivyo mvua upadre Kwa skendo za uzinzi lilipaswa limvue na udaktar wa bible!!Sasa hivi kabakisha Dkt. Slaa.
Chuo nacho kiki- revoke napo msala walahi
Kiadvocate tunaita kukazia hukumuHukumu ni hapa hapa duniani kwa wapumbavu na mbinguni ni kushindilia hukumu.
Kupigana vita na CCM inahitaji watu wenye msimamo, hawa mamluki wanawasaliti muda wowoteUsimshambulie slaa,tuungane kushambulia mafisadi ya CCM
Wewe ni msukule, watu wengi hapa nawajibu vizuri ila wewe nakuambia ni msukule 💯Huna HOJA ndomana umekimbilia kutukana!!