Aliyehukumiwa kunyongwa

Aliyehukumiwa kunyongwa

Kwa hiyo nini kilisababisha akajulikana baada ya kupoteza ushahidi?
Alichukua simu ya mke wake akajitumia message kuwa anasafiri nje ya nchi...

Huyu jamaa alikuwa anashirikiana na ndugu kumtafuta mtu aliyemuua. Akawa kwenye group la ukoo kila siku anatoa updates alipofikia. Ngoma ikaenda watu wakaanza kumshtukia kwa namna alivyokuwa. Maana mwanamke hakuwa na passport ila jamaa anasema mke kakimbilia nje ya nchi.

Polisi walivyofuatilia simu wakakuta simu zilikua sehemu moja wakati mke anatuma meseji kuwa ameondoka anaelekea nje ya nchi.
 
Hamis akiwa Segerea ameandila Kitabu Kuhusu tukio lake la mauaji ya Mke wake na anatamani Kila Mwanaume akisome hiko Kitabu.

1.Hamis baada ya Mke wake kukata Roho pale kwenye Ngazi majira ya Saa 10 Usiku ndiyo akaanza Kujuta na Kujiona akiandamwa na Kesi ya Mauaji sasa akawa anataka kujinasua na Kesi

2.Cha Kwanza Hamis aliwaza kuchimba shimo kumfukia akagundua itakuja kujulikana ndiyo akapata wazo la Kumteketeza kwa Moto ili kukwepa Ushahidi

3.Kwa Maelekezo yake chini alipanga Pochi za Mke wake ili akiwa anaungua isisikike harufu
ya Nyama bali Plastic na Juu akapanga viatu vya Mke wake pamoja na Nguo chache kisha akamzungushia Mkaa

3.Kwa Hamis pana fensi na eneo Kubwa kiasi cha Majirani hawakugundua chanzo cha moto ila waliona Mosi na harufu ya Plastic

4.Bodaboda alitumwa gunia za Mkaa kama nne na zote alikuwa anashushia nje ya geti kisha Hamis anaziingiza Mwenyewe ndani

5.Hamis alifanikiwa kumteketeza Mke wake kwa Moto na kwa simulizi yake sehemu za Mwisho Kuungua Mke wake zilizomsumbua ni Matiti na sehemu za siri, akaongeza Sana Mkaa hadi kufanikiwa kumalizana nazo.

6.Katika Kuondoa Ushahidi sasa Hamis akakusanya Majivu na udongo mwuusi ulio ungua na moto pale alipomchoma mke wake kisha akapack katika Viroba

7.kisha akasafirisha mabaki ya Majivu na Udongo akaenda akutupa Shambani Kwake Kibiti katika Mto ,majivu ya udongo vikaondoka na maji yeye akarudi nyumbani

8.Baada ya Usafi ,akaenda Polisi Kigamboni Kuriport Mke wake amepotea na Kwamba ajarudi tangu Jana alipotoka kwenda Matembezini.

9.Jeshi la Polisi na Hamis wakaaanza Kushirikiana kumtafuta Naomi

10.Hamis akatamgqza Dau la Millioni 5 Kwa Mtu yeyote atakayekuwa amemuona Mke wake

11.Hamis akabandika Picha za Mke wake Kigamboni yote na Posta upande wa Feri zikaenea Kama Naomi anagombea Ubunge wa Kigamboni
Ndiyo ameshaua. Na ataishi maisha ya majuto mpaka siku yake na yeye ya kufa.
 
Haki jinai mtuhumiwa akihojiwa asipigwe , aulizwe na aseme kwa hiyari yake.

Polisi wakimkamata mtuhumiwa kama huyo alietenda kosa bila kuwepo kwa shahidi yoyote na akapoteza ushahidi hadi kutupa majivu mtoni anatakiwa wamuulize "uliua" akisema "sijaua" asilazimishwe aachiwe huru.

Napendekeza Mr Khamis akate rufaa ili aachiwe huru inaonekana kuna viashiria vingi vya mtuhumiwa kulazimishwa kusema ukweli huo kitu ambacho ni kinyume na sheria.

Sijaeleweka? Ndiyo najua sijaeleweka.
 
Back
Top Bottom