Aliyehukumiwa kunyongwa

Aliyehukumiwa kunyongwa

Haki jinai mtuhumiwa akihojiwa asipigwe , aulizwe na aseme kwa hiyari yake.

Polisi wakimkamata mtuhumiwa kama huyo alietenda kosa bila kuwepo kwa shahidi yoyote na akapoteza ushahidi hadi kutupa majivu mtoni anatakiwa wamuulize "uliua" akisema "sijaua" asilazimishwe aachiwe huru.

Napendekeza Mr Khamis akate rufaa ili aachiwe huru inaonekana kuna viashiria vingi vya mtuhumiwa kulazimishwa kusema ukweli kitu ambacho ni kinyume na sheria.
Kwahiyo aachiwe huru kisa alilazimishwa kusema ukweli hata kama aliua kweli?
 
Kwahiyo aachiwe huru kisa alilazimishwa kusema ukweli hata kama aliua kweli?
Haki jinai: Polisi hawaruhusiwi kumlazimisha mtuhumiwa kusema chochote , kama alifikia hatua hiyo ya kupoteza ushahidi inawezekana vipi akakubali kusema kwa hiyari yake?

Kama alilazimishwa kusema je sheria haijavunjwa? Au kwenye hilo tumeruhusu sheria ivunjwe?
 
Kwa hiyo nini kilisababisha akajulikana baada ya kupoteza ushahidi?
Alifanya kosa la kitoto.

Baada ya kuua akachukua simu ya mkewe akajitumia meseji as if mkewe ndiyo amemtext.

Meseji Aliandika "mume wangu nasafiri nje ya nchi" alafu akaandika "naomba uwaangalie watoto".

Hii kwenye uchunguzi ilimtoa mchezoni mana kwenye upelelezi ilionenkana simu zote mbili zilitumia mnara mmoja wa mawasiliano,means mtuma meseji na mtumiwa walikuwa the same location.

Swali likabaki kwa nini iwe hivyo?

Mwamba alikosa elimu ya criminology akadakwa kitoto.
 
Hapo kutangaza dau kulishtua alarm za polisi kujiuliza kwanini iwe kuna dau?kwamba huyu mkeo uliyekuja kutoa taarifa za kupotea kwa wema kabisa kama ktk taarifa zako police hukusema ameondoka na chochote chako cha muhimu kwanini uingie kwenye kamari ya kutoa zawadi apatikane usiache wao wafate procedure zao kumtafuta?

Kingine pia walihisi inawezekana unajua mkeo ametekwa na wenzako mnaofanya biashara fulani haram so wakakazia pia kuchunguza upande huo wakifikia kumchunguza mwenyewe mtoa taarifa (Hamis) uchunguzi ukianzia kwenye life style yake mwisho kufika kuchunguza alivyokuwa anaishi na mkewe,kwenye matukio kama haya vipo vijisababu ambavyo mtendaji huwa haoni kama anaamsha shari na kuvipuuza asijue wenye kazi yao watapita humo humo kumbananisha.
 
Alifanya kosa la kitoto.

Baada ya kuua akachukua simu ya mkewe akajitumia meseji as if mkewe ndiyo amemtext.

Meseji Aliandika "mume wangu nasafiri nje ya nchi" alafu akaandika "naomba uwaangalie watoto".

Hii kwenye uchunguzi ilimtoa mchezoni mana kwenye upelelezi ilionenkana simu zote mbili zilitumia mnara mmoja wa mawasiliano,means mtuma meseji na mtumiwa walikuwa the same location.

Swali likabaki kwa nini iwe hivyo?

Mwamba alikosa elimu ya criminology akadakwa kitoto.
Ni hapo watuhumiwa wengi wa kitanzania wanapofeli ,kote wanacheza vizuri Ila ikifika kwenye issue ya mawasiliano wanayabananga .
Hii imenikumbusha zamani kidogo nikiwa kwenye majukumu Kama hayo ya kuhusika na watuhumiwa ,niliwahi kutana na mtu aliyemkata jirani yake kichwa alafu akaenda kumtupa sehemu ya mbali Kama utoke kariakoo mpaka huko mabwepande ukamtupe maiti Ila usahau kuficha mawasiliano kwa maana aliondoka na simu ya ntuhumiwa nyumbani lengo aweze kudanganya eti kaokota simu yake mtaa wa pili na aliwaona watu wanaondoka naye kwenye gari 🤔

Mwisho wa picha simu ikamkatalia kuwa hapana bwana hatwendi hivyo ,akawa Yuko chini ya ulinzi .

Note :Ni kipindi hiko polisi ilipokuwa polisi sio Sasa .
 
Alifanya kosa la kitoto.

Baada ya kuua akachukua simu ya mkewe akajitumia meseji as if mkewe ndiyo amemtext.

Meseji Aliandika "mume wangu nasafiri nje ya nchi" alafu akaandika "naomba uwaangalie watoto".

Hii kwenye uchunguzi ilimtoa mchezoni mana kwenye upelelezi ilionenkana simu zote mbili zilitumia mnara mmoja wa mawasiliano,means mtuma meseji na mtumiwa walikuwa the same location.

Swali likabaki kwa nini iwe hivyo?

Mwamba alikosa elimu ya criminology akadakwa kitoto.
Si wakikuwa wanaishi pamoja na bila maelewano. Kwa nini isiwe sio kesi
 
Haki jinai mtuhumiwa akihojiwa asipigwe , aulizwe na aseme kwa hiyari yake.

Polisi wakimkamata mtuhumiwa kama huyo alietenda kosa bila kuwepo kwa shahidi yoyote na akapoteza ushahidi hadi kutupa majivu mtoni anatakiwa wamuulize "uliua" akisema "sijaua" asilazimishwe aachiwe huru.

Napendekeza Mr Khamis akate rufaa ili aachiwe huru inaonekana kuna viashiria vingi vya mtuhumiwa kulazimishwa kusema ukweli huo kitu ambacho ni kinyume na sheria.

Sijaeleweka? Ndiyo najua sijaeleweka.
But yapo madai aliwapeleka askari shambani kwake Vikindu akaonyesha alipofukia masalia kiasi ya marehemu na walipofukua wakakuta vipande vya mifupa na meno ya binadamu?

Labda kama haikufanyika DNA test kuthibitisha then kama hawakufanya hivyo ataweza akachomokea kwenye rufaa
 
Back
Top Bottom