ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Kwahiyo aachiwe huru kisa alilazimishwa kusema ukweli hata kama aliua kweli?Haki jinai mtuhumiwa akihojiwa asipigwe , aulizwe na aseme kwa hiyari yake.
Polisi wakimkamata mtuhumiwa kama huyo alietenda kosa bila kuwepo kwa shahidi yoyote na akapoteza ushahidi hadi kutupa majivu mtoni anatakiwa wamuulize "uliua" akisema "sijaua" asilazimishwe aachiwe huru.
Napendekeza Mr Khamis akate rufaa ili aachiwe huru inaonekana kuna viashiria vingi vya mtuhumiwa kulazimishwa kusema ukweli kitu ambacho ni kinyume na sheria.