Aliyehukumiwa kunyongwa

Kweli mdau .. unajua sana. Hapo aliacha code wazi sana.
 
Ila Hamisi ni katili kupita maelezo.
Kwa jinsi alivyomteketeza make wake Hadi akageuka majivu itoshe kusema jamaa ni katili kwa kiwango cha SGR
 
Sasa majivu yaliyopelekwa mahakamani kama ushahidi waliyatoa wapi?
 
Kosa kubwa kama la mauwaji lazima at some point utaacha some foot prints tu; no matter how trivial they might be, skilled investigators wanapita hapo hapo.

Bila hata simu kucheat safari ya mkewe; hata kwa mahojiano ya mdomo utetezi wa safari bado ungeshtukiwa kwa sababu safari ya nje ni jambo kubwa lazima angeaga ndugu, jamaa na marafiki.

Ok, may be alikuwa na malicious intent so asingeaga, border zote zingepekuliwa. May be alitorokea kwa mwanaume na yuko humu humu nchini give it time isingepita muda biometrics zake au national id yake ingenasa mahali akipata huduma else after a year or so almost concluded dead.

Swali sasa linakuja; nani alimuua huku Hamisi akifuatiliwa nyendo na communications zake zote kwa karibu. Angedakwa tu!
 
Uko sahihi. Ukisoma hadithi moja ya Edgar Alan poe inaitwa the tells tale's heart, ukiua kuna wenge linakupata as if kuchanganyikiwq hivi. Hapo ndipo unapoingia kwenye mtego
Kisa cha OCD Bageni na mauwaji ya Mabwe Pande. Waliua watu wote wanne wakilenga kuhakikisha hakuna anayebaki ili kupoteza ushahidi. Hakuna aliyewaona lkn utashangaa namna gani siri ilifichuka.
 
Lile wenge braza usiombe😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…