Aliyehukumiwa kunyongwa

Mambo mengine yanatisha sana,tuombe Mungu atuepushe na roho za magomvi na hasira hasa kwa wanandoa...
 
Siku ukiambiwa Polisi wanakutafuta ndio utajuwa wanafanyaje kazi.
Hakuna kosa au Jinai inaweza kufanyika ktk ya jamii na ikashindikana.

Ndio maana watu wanaamini Polisi inafanya kazi vizuri tu. Kinachoshangaza ni Kadhia ya Wasiojulkana ambao wanafanya uhalifu mchana kweupe na bado tunaambiwa hawajulikani.

Hiii inaitwaje mkuu?😀
 
Kuua na kujificha kunahitaji mbinu za kimedani, kama huna hizo mbinu achana kabisa na mawazo ya kuua, usiue kwasababu una hasira.

Kuua ni kazi za watu Kwa ajili ya malengo yao, kama sio kazi zako usijaribu hata kukodi watu wakusaidie kuua.

Kudhulumu nafsi ya mtu iliyoumbwa na Mwenyezi Mungu sio kazi rahisi.
 
Huyu mwamba kilicho mkamatisha ni simu alichukua simu ya mke wake akajitumia sms polisi katika kuchunguza kwao wakagundua mawasiliano ya mwisho ya mwanamke na mume wake yalifanyika sehemu moja jamaa akajikuta hatiani
Hapo polisi wetu walicheza kama mesi naona kitengo cha cyber hapa kilifanya kazi yake vizuri
 
Hapo tu ndio nilipolisifu jeshi they solved the problem easly.
 
Kuua na kujificha kunahitaji mbinu za kimedani, kama huna hizo mbinu achana kabisa na mawazo ya kuua, usiue kwasababu una hasira.
Hakuna siri kwenye kuua. Patrice Lumumba walimuua na kumpeleka kwenye pori kubwa sana Ndani ya Congo zaidi ya kilomita 120 kutoka kwenye pori la mauaji huko mwili wa kuuchoma moto kwa Mafuta kemikali.

Hata hivyo ilifahamika na details zote zilikuwa narrated from Tangu kumkamata Kinshasa hadi kumuua na kumchoma moto.

Especially tukio linapohusisha mtu zaidi ya mmoja.

Ukiona kimya ujue mamlaka zimekulinda tu ila sio kwamba umefanya siri
 
Kisa cha OCD Bageni na mauwaji ya Mabwe Pande. Waliua watu wote wanne wakilenga kuhakikisha hakuna anayebaki ili kupoteza ushahidi. Hakuna aliyewaona lkn utashangaa namna gani siri ilifichuka.
Kweli aiseh, hata makonda alishiriki kutaka kumuua lisu hakuna aliyemuona lkn damu inamuandama yeye
 
Katika simulizi hiyo, hajaeleza chanzo cha ugomvi wao?

Nadhani angeliua na kwenda kuripoti ukweli, angelishitakiwa kwa manslaughter, ambapo hukumu isingelikuwa ni kitanzi!
 
Nawaza ndugu wa mwanamke wana hali gani baada ya kujua namna ndugu yao alivyofariki na vile mwili ulichofanywa!!

Hawakuwa na watoto?
Wala hawakushangaa baada ya kusikia mtoto wao amefariki.

Hawa wawili walikuwa Wana tabia ya ugomvi usioisha na wamepelekana sana kwa wazazi wa mwanamke kusuluhisha hadi wakachokwa.

Zamani kabla ya hizi vita walikuwa wanaishi maisha mazuri sana na ya furaha. Shida ilikuja jamaa alipojipata akamfungulia Biashara ya duka la dawa (pharmacy)mkewe na yeye kudeal na inshu za kununua maneno na kuuza kama viwanja.

Maisha yakazidi kuwa mazuri,wakajenga na majumba ya maana,mwanamke Biashara ikazidi kustawi na kupiga Hela zaidi na zaidi....Tatizo likaanzia hapo..financial freedom ya mwanamke akaanza kuleta dharau na ndiyo mwanzo wa maugomvi yao.

Hali ikazidi kuwa mbaya,vikao vya familia haviishi. Jamaa akahama chumba akahamia ghrofani..Hadi hapa umepata picha kwa nini kumetoea kifo cha aina hii.

Pale mnapojipata kimaisha mkafikia hatua ikawa ngumu kuachana kwa sababu ya kuogopa kugawana Mali. Mwanaume hatua hii anakuwa na stress za kiwango cha SGR.

Jamaa alipoenda kureport kwa wazazi wa Binti mtoto wao haonekani wazazi walie da chang'ombe kureport na jamaa alifungua jarada kigamboni.

Chang'ombe na kigamboni wakawa wanafatilia inshu Moja bila kujuana.
OKW BOBAN SUNZU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…