kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Na hao ukifuatilia ni watu wanao jitamba kuwa ni usalama wa taifa, wanahangaika na vitu ambavyo havina hata madhara kwa taifa wanaacha mambo ya msingi yanayo litia hasara taifaNchi hii ina laana. Hivi huyu kijana wa watu baada ya kulipa fidia wao kiliwauma nini hadi wakaja kumchukua na kumuua?
Ulimboka, Dr Juan , Sengondo Mvungi unawajua hao na matukio yao? Tuanzie hapoChanzo kikubwa cha haya ni awamu ya 5 ya mzee wa chato
Rais sio mungu semanCCM ndio imelisha watanganyika upumbavu na ujinga kumuona Rais kama mungu, hizi laana za kuua watu wasio kuwa na hatia lazima itembee naoIla mambo mengine tunajitakia tu.
.........Hivi unachoma picha ya Rais ili iweje, ili ugundue nini yaani?
Hakuna anaye bisha hayo kuwepo hapo kabla ila awamu ya 5 imevunja rekodi na hii ya 6 ndio kabisaaa hivi awamu mbili zimeshikwa na ibilisi kamiliUlimboka, Dr Juan , Sengondo Mvungi unawajua hao na matukio yao? Tuanzie hapo
Chanzo kikubwa cha haya ni awamu ya 5 ya mzee wa chato
Kama utambui yote yamesababishwa na utawala wa chama gani, sina muda wa argue na soma nilichoandika kwanza kabla ujaanza kuchangia.Hakuna anaye bisha hayo kuwepo hapo kabla ila awamu ya 5 imevunja rekodi na hii ya 6 ndio kabisaaa hivi awamu mbili zimeshikwa na ibilisi kamili
Utoto unakumbua wewe kipi hakija eleweka hapo!?Kama utambui yote yamesababishwa na utawala wa chama gani, sina muda wa argue na soma nilichoandika kwanza kabla ujaanza kuchangia.
Siku njema.
Rais sio mungu semanCCM ndio imelisha watanganyika upumbavu na ujinga kumuona Rais kama mungu, hizi laana za kuua watu wasio kuwa na hatia lazima itembee nao
Hakuna sehemu mtu kasema Rais ni Mungu.Rais sio mungu semanCCM ndio imelisha watanganyika upumbavu na ujinga kumuona Rais kama mungu, hizi laana za kuua watu wasio kuwa na hatia lazima itembee nao
Huyu mama ndiyo kashamuua mtanzania mzalendo mwenzetu?Akimakiza tu awamu yake lazima tuandike kitabu ya maovu yake ya kuteka watu
Hivi kumpoteza kijana masikini kama huyu kunawasaidia nini nyinyi mahayawani msio na haya?Vijana tuache kutafuta umaarufu wa kipumbavu
JPM katili wenu alikufa 2021 sasa huyu kijana kachukuliwa na Mzimu wa JPM au?Hivi kumpoteza kijana masikini kama huyu kunawasaidia nini nyinyi mahayawani msio na haya?
Ngoja nimuulize MamaSamia2025, labda atakuwa na majibu.JPM katili wenu alikufa 2021 sasa huyu kijana kachukuliwa na Mzimu wa JPM au?
Ikichomwa picha inakua amechomea rais? Alipata adhabu kisheria kwa kosa hilo, huku kupotezwa kulikujaje kama mtu alishaukumiwa kea kosa hiloIla mambo mengine tunajitakia tu.
.........Hivi unachoma picha ya Rais ili iweje, ili ugundue nini yaani?
Ikichomwa picha inakua amechomea rais? Alipata adhabu kisheria kwa kosa hilo, huku kupotezwa kulikujaje kama mtu alishaukumiwa kea kosa hilo