kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Na hao ukifuatilia ni watu wanao jitamba kuwa ni usalama wa taifa, wanahangaika na vitu ambavyo havina hata madhara kwa taifa wanaacha mambo ya msingi yanayo litia hasara taifaNchi hii ina laana. Hivi huyu kijana wa watu baada ya kulipa fidia wao kiliwauma nini hadi wakaja kumchukua na kumuua?