Aliyehukumiwa kwenda jela miaka 2 kwa kuchoma picha ya Rais amechukuliwa na watu wasiyojulika, mpaka sasa hajulikani alipo

Aliyehukumiwa kwenda jela miaka 2 kwa kuchoma picha ya Rais amechukuliwa na watu wasiyojulika, mpaka sasa hajulikani alipo

Chanzo kikubwa cha haya ni awamu ya 5 ya mzee wa chato

𝑯𝒂𝒘𝒂 𝒎𝒂𝒋𝒊𝒛𝒊 𝒚𝒂𝒕𝒂𝒕𝒖𝒎𝒂𝒍𝒊𝒛𝒂 𝒎𝒄𝒉𝒂𝒏𝒂 𝒌𝒘𝒆𝒖𝒑𝒆𝒆𝒆

𝑴𝒂𝒋𝒊𝒕𝒖 𝒚𝒂𝒔𝒊𝒚𝒐 𝒏𝒂 𝒉𝒖𝒓𝒖𝒎𝒂 𝒉𝒂𝒕𝒂 𝒌𝒊𝒅𝒐𝒈𝒐 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒇𝒊𝒌𝒊𝒓𝒊 𝒘𝒂𝒎𝒆𝒛𝒂𝒍𝒊𝒘𝒂 𝒘𝒂𝒐 𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆𝒘𝒆 𝒕𝒖 𝒏𝒂 𝒇𝒂𝒎𝒊𝒍𝒊𝒂 𝒛𝒂𝒐 𝒏𝒄𝒉𝒊 𝒉𝒊𝒊.
 
Vijana tuache kutafuta umaarufu wa kipumbavu
 
Kama utambui yote yamesababishwa na utawala wa chama gani, sina muda wa argue na soma nilichoandika kwanza kabla ujaanza kuchangia.

Siku njema.
Utoto unakumbua wewe kipi hakija eleweka hapo!?
 
Rais sio mungu semanCCM ndio imelisha watanganyika upumbavu na ujinga kumuona Rais kama mungu, hizi laana za kuua watu wasio kuwa na hatia lazima itembee nao
Hakuna sehemu mtu kasema Rais ni Mungu.

........Ila vijana tukijitahidi kwenda shule tutaepuka vitu vingi sana.

Hakuna faida yeyote ya kuchoma picha ya kiongozi wako.

Mambo mengine tunaweza kuepuka na tukaishi vizuri kwa amani.

Kama unajua mbwa ana kichaa kwanini umchokoze?
 
Hatokaa aonekane Tena.
Alishapewa kesi ya Uasi.

Katafute adhabu ya mtu muasi.
 
Back
Top Bottom