Aliyehusika na utekaji nyara na mauaji ya Shiri, Kfir, na Ariel Bibas naye afyekelewa mbali leo hii huko Gaza

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
BREAKING: IDF imemwangamiza Kiongozi wa kundi la kigaidi la Mujahidina Brigedi huko Gaza, ambaye alihusika na utekaji nyara na mauaji ya Shiri, Kfir, na Ariel Bibas.

Yeye na familia yake wote waliangamizwa.

Hakuna mahali pa kujificha. Israeli itawapata wote.

 
Echolimai habari mpya kwasasa ni Israel kufanyiwa Ujasusi lete uzi mkuuu!!!!!
 
Hakuna shida. Askari kufia vitani ni ushujaa. Tunampongeza huyo shujaa wa Kipalestina aliyewaua hao askari wa Israel.
Ila katika hao askari kuna watatu wanaenda motoni moja kwa moja na mmoja anaenda peponi japo wote ni askari.
Huwezi kuamini sasa lakini siku yako ya kufa ikifika utaamini.
 
IDF inafanya Kazi nzuri kuwawaisha magaidi kwenye pepo y allah. Takbiririri
 

Kuna wale askari 4 majahudi waliouwawa juzi nao walifyekelewa mbali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…