Aliyeimba "wanaume tumeumbwa maaatesooo" aliwaza sana

Aliyeimba "wanaume tumeumbwa maaatesooo" aliwaza sana

Wanaume hatutumii emoji za kucheka wala kulia , Usirudie tena kutumia emoji.
Kama umezidiwa sana tumia hii👍🏾
 
🤣🤣🤣 kweli aisee! Wanaume wa humu ambao hamjaoa mnakula bata sana, hakuna mateso, wote mna mandinga mkali, mnaishi kwenye apartment masaki, dada wa kazi anakuja mara moja kwa wiki kufanya kazi, mambo ni supa.

Ila waliooa wana stress, wanateseka, kutwa kulia lia 😂
Wee mama Abaya naomba ulale 😁
 
🤣🤣🤣 kweli aisee! Wanaume wa humu ambao hamjaoa mnakula bata sana, hakuna mateso, wote mna mandinga mkali, mnaishi kwenye apartment masaki, dada wa kazi anakuja mara moja kwa wiki kufanya kazi, mambo ni supa.

Ila waliooa wana stress, wanateseka, kutwa kulia lia 😂
😁....wote wapo dar.
Walisoma UDSM, masters walichukulia Ujerumani.
Nusu yao ni wakuu wa vitengo kwenye makampuni ya kimataifa.
 
Aaaah aaaah🤣🤣🤣🤣🤣Jamani,hii ndoa itakuwa ya uji ramadhani ikiisha talaka....maana kivuruge mmmh
Alete mahari Kaka mdogo nipo kupokea hiyo bride price. 😁😁😁
Madogo bhana
 
Mwamba apewe maua yake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Nahangaika kupika hapa siopoa wakuu na ukizingatia siwezi kula daku kwa mama ntilie na nimeçhoka nakazi ile mbaya.

Mchumba wangu joannah nikuoe Sasa au unasemaje😉😉😉😉😉😉😉😉
sasa wewe,
kaugali tu kanakushinda kupika, kanakutoa jasho, shughuli za uzalishaji utaweza kweli 🐒
 
Back
Top Bottom