Aliyejifanya YESU atimuliwa Kenya

Wakenya hao wajanja wanatafuta viza ya kutimkia Siberia kupitia huyo yesu fake.Wazungu wengi wamehamia Siberia kupitia yeye
 
kila siku wanatutukana watz sasa mnaona wasivyo na kitu kichwani,angekuja kwetu huyu tungemkamata ,tungempiga na tungemsindikiza airport akapande ndege(in jaguar voice)
 
Huyo angejifanya ndiyo yule wanayemuabudu ule upande wa Boko Haram, Al-Qaeda na Al-Shabab. Huyo angekuwa maiti muda si mrefu maana kiongozi wao hutetewa na wanadamu.
Kwa kuendekeza ujinga wenu, mnaendelea kuonekana wajinga na kutapeliwa makanisani, huyo jamaa amewaona kuwa wajinga ndio maana akawafanyia ujinga. Ule upande wa Boko haram, hautaki masihara na imposters!
 
Sijataja dini ya mtu ila nashangaa wewe umetaja. Kama unafikiri Boko Haram au Alshabab ni ya dini yako. Hongera kwa hilo. Basi endeleeni kujilipua
 
Sijataja dini ya mtu ila nashangaa wewe umetaja. Kama unafikiri Boko Haram au Alshabab ni ya dini yako. Hongera kwa hilo. Basi endeleeni kujilipua
Mbona unajishtukia? mie nimekwambia kama hao ni wa dini yangu? πŸ˜€ Itakuwa unahusika apo
 
Hahahaaaaaaa afadhali Serikali imefanya vizuri!! Hii dunia sijui inakoelekea !!! Watu kweli wanacheza na jina la Yesu hivi!!😭😭
 
Hapo kosa litakuwa ni ulaghai na kuchukua pesa za watu..., maybe na kuingia nchini bila utaratibu wa kumruhusu kufanya kazi husika...

Hivi katika jambo la imani.., mtu akijiita au akijifanya yeye ni mtu ambaye tunaamini kuwa kuna siku atarudi (hata kama sio kweli) unaweza legally ukambishia kwamba sio yeye ? Hapa keyword ni legally sio spiritually.....
 
Utapeli wa kutumia akili😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…