Aliyejifanya YESU atimuliwa Kenya

Mbona unajishtukia? mie nimekwambia kama hao ni wa dini yangu? 😀 Itakuwa unahusika apo
Sijajishutukia ila wewe ndiyo umejishitukia mpaka umeniquote. Kama haukujishutukia ungepita kimya kimya. Ungecomment bila kuniquote na ndiyo maana sijataja dini ya mtu. Boko haramu dini yao ni Budhaa. Sijui wasiwasi wako unatoka wapi.
 
Huyo unamtetea wewe??
Yupi? Mimi sina dini maana dini ni ugonjwa mbaya sana kuliko ugonjwa wowote ule duniani. Ndiyo maana walioleta walitufanya wutumwa. Cha kushangaza walioleta dini hawagombani kwasababu ya dini ila walioletewa sasa. Wamefanya dini kama imetoka kwa Mungu wakati ujinga mtupu.
Ukikataka kuwa mgonjwa wa akili wewe kuwa mfuasi wa dini fulani.
 


Kumbe nao ni matapeli wa kutupwa, wakenya nao ni mazuzu kumbe!!!
 
wafuasi,mchungaji wao na huyo mzungu tapeli aliyekaribishwa ,wote ni walevi wachambia rungu
 
Wakristo wengi wanadanganywa ktk mambo mengi kwasababu hawasomi neno... Bible Iko clear ktk hili kabisa.
 
Na kupiga pia baada ya wanigeria kundi la pili ambao huwezi wakosa nchi yeyote duniani Ni wakenya.Si rahisi uende nchi yeyote usiwakute wakenya sio rahisi
Wakenya wapigaji sana
Wao kwao ni ajira rasmi

Ova
 
Kwani ile picha tulikuwa tunaangalia utotoni ile sura ilikuwa ya Yesu kweli?
 
Ati middle income country imeletewa mzungu na kuambiwa ni yesu na wakaamini.

Pretty sure kuna mbuzi walirudi home wakajisifia kwa wenzao kua wamemuona yesu

Na wengine wamepiga nae selfie [emoji1702]
 
Wanamuitaje fake wakati Original hawamjui ?
 
Hawa noise neighbors sometimes mambo yao yanafurahisha.
😀
 
Da yesu anatembea na kibegi kidogo dogo! Au ndicho alichowekea mikate ya kuwalisha wenye njaa
 
[emoji28][emoji28][emoji28]

Serikali nchini Kenya imewakamata Wachungaji ambao walimualika huyo mzungu na kuwadanganya waumini wake kuwa ni Yesu amerudi duniani.

Yesu huyu bandia amekuwa akikusanya sadaka za waumini akiwadanganya kuwafanyia miujiza na kwamba waumini waendelee kumpa hela nyingi ili aende mbinguni kuwaandalia makao yao ikiwa pamoja na kununua Sementi, Matofali na Mabati.

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…