Uchaguzi 2020 Aliyejipanga kupora uchaguzi tunamjua, Wananchi tukapige kura kwa wingi kumkataa!

Uchaguzi 2020 Aliyejipanga kupora uchaguzi tunamjua, Wananchi tukapige kura kwa wingi kumkataa!

Umesema kweli kabisa, ila yatupasa kujua si rahisi kuiondoa ccm madarakani kwa sanduku la kura/makaratasi.

SIRI: Maana ya ccm ni CHAMA CHA MAPINDUZI. Si rahisi kukiondoa chama /serikali iliyoingia madarakani kwa mapinduzi kwa kutumia karatasi, SERIKALI AU CHAMA KILICHOINGIA MADARAKANI KWA MAPINDUZI, KINAONDOLEWA KWA MAPINDUZI.
M7 alishawahi kusema yeye ni kotapini hivyo atatolewa kwa nyundo
 
Narudia tena kwako, hata kama Mbowe na Zito wangepewa ukuu wa Tume bado hamtashinda. Mwaka ule mlisaidiwa na mzee Lowassa na hayuko kwenu tena na wala msije jifariji. Hata kura millioni moja this time hamtopata. Mark my words. Na wala hamtaibiwa ila watu hawatawapa.
Hongera kwa kujifariji😁😁😁
 
Back
Top Bottom