Na aliehukumu ni mkuu wa mkoa?Wewe naye sijui umetokea wapi. Aliyeliibua hili ni mkuu wa mkoa, na akasema akamatwe. Huyo kamaliza shida zote za mkoa wake? Ikabaki ya picha tu. Hapa hatuzungumzii kazi ya nani na nani. Wewe kama comment ya mtu huielewi ipite tu.
Kachoma ya sa100 ndo iliyomvutia, unampangia?!.Kwann asichome picha ya mama yake kama ana hasira
Nipo bize na maendeleo ujinga mda Sina niwaachie nyie.Kachoma ya sa100 ndo iliyomvutia, unampangia?!.
We kachome basi ya mamako!
Aibu yao CCM na majangili menginePoleni sana kwa maumivu. Picha imechomwa moto, na kijana ndiyo huyo hapo, muda atakuwa huru.
kwamba kuchoma picha moto ndo unahukumiwa jela ? hii sio kumfanya mtu afungwe jela , watz tuishangae serikali kabla ya kumshangaa huyu jamaa , kwa nchi yenye akili ingeelewa kuwa hii ni taarifa kuwa tunaendeshwa kidiktetaAKAPIMWE AKILI HUYU, HAJATOKA ISRAEL HUYU HIVI KARIBUNI?
Truekwamba kuchoma picha moto ndo unahukumiwa jela ? hii sio kumfanya mtu afungwe jela , watz tuishangae serikali kabla ya kumshangaa huyu jamaa , kwa nchi yenye akili ingeelewa kuwa hii ni taarifa kuwa tunaendeshwa kidikteta
kwamba kuchoma picha moto ndo unahukumiwa jela ? hii sio kumfanya mtu afungwe jela , watz tuishangae serikali kabla ya kumshangaa huyu jamaa , kwa nchi yenye akili ingeelewa kuwa hii ni taarifa kuwa tunaendeshwa kidikteta
Mwamba atachomoka soonWanyakyusa wana mambo sana. Anacheka kama vile anaenda senema. Kumbe amehukumiwa na anajua hukumu yenyewe sijui imeangalia katiba au la 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Tuna nchi ya hovyo snSijui amehukumiwa kwa kutumia sheria gani? Interesting. Taratibu mambo yanaanza kufunguka
Mfumo mbovu na wala siyo yeyeSamia huyu huyu aliyefeli form 4 kisha akawa mpanga mafaili ya ofisi, leo hii anageuzwa kuwa Mungu?
'Amehukumiwa kwa kutumia sherai gani? We all need to learn and understandPoleni sana kwa maumivu. Picha imechomwa moto, na kijana ndiyo huyo hapo, muda atakuwa huru.
Hilo kabila ni pasua kichwa sana. Na yule aliyekutwa Katavi si ni wahuko huko? Kiburi sana hawa wasipewe vyeoWanyakyusa wana mambo sana. Anacheka kama vile anaenda senema. Kumbe amehukumiwa na anajua hukumu yenyewe sijui imeangalia katiba au la 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Kimsingi kuna mambo yanafikirisha sana. Hivi kwa mfano nimeenda zangu stationery, nikatengeza picha ya huyo mama, baadaye nikaona ni michosho!'Amehukumiwa kwa kutumia sherai gani? We all need to learn and understand