Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela

Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela

Wewe naye sijui umetokea wapi. Aliyeliibua hili ni mkuu wa mkoa, na akasema akamatwe. Huyo kamaliza shida zote za mkoa wake? Ikabaki ya picha tu. Hapa hatuzungumzii kazi ya nani na nani. Wewe kama comment ya mtu huielewi ipite tu.
Na aliehukumu ni mkuu wa mkoa?
 
Nasikia lengo lilikuwa kuikojolea ila akaghairi akaamua aitie kiberiti
 
kwamba kuchoma picha moto ndo unahukumiwa jela ? hii sio kumfanya mtu afungwe jela , watz tuishangae serikali kabla ya kumshangaa huyu jamaa , kwa nchi yenye akili ingeelewa kuwa hii ni taarifa kuwa tunaendeshwa kidikteta

Sijui amehukumiwa kwa kutumia sheria gani? Interesting. Taratibu mambo yanaanza kufunguka
 
Wanyakyusa wana mambo sana. Anacheka kama vile anaenda senema. Kumbe amehukumiwa na anajua hukumu yenyewe sijui imeangalia katiba au la 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Hilo kabila ni pasua kichwa sana. Na yule aliyekutwa Katavi si ni wahuko huko? Kiburi sana hawa wasipewe vyeo
 
'Amehukumiwa kwa kutumia sherai gani? We all need to learn and understand
Kimsingi kuna mambo yanafikirisha sana. Hivi kwa mfano nimeenda zangu stationery, nikatengeza picha ya huyo mama, baadaye nikaona ni michosho!

Nikaamua kuichoma moto au kuichana, ndiyo nifungwe miaka miwili au kulipa faini ya milioni 5!
 
Back
Top Bottom