Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Na aliehukumu ni mkuu wa mkoa?Wewe naye sijui umetokea wapi. Aliyeliibua hili ni mkuu wa mkoa, na akasema akamatwe. Huyo kamaliza shida zote za mkoa wake? Ikabaki ya picha tu. Hapa hatuzungumzii kazi ya nani na nani. Wewe kama comment ya mtu huielewi ipite tu.