adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Ngoja tutunze hii risiti , ila uzi umekaa kimtego haujafunguka nani atapigwa .Asanteni sana Wazee wa Kikwajuni Zanzibar hakika safari hii mmeamua kwani haiwezekani tukose vyote kwa 2024 sawa?
Dr Matola PhD na Bujibuji Simba Nyamaume mpo? Kesho sitaki kabisa mkosekane hapa Jamvini JF kuanzia Usiku sawa?