Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Ni kweli, ana changamoto huyo jamaa.Huyu ukifuatiliaga anacho andika utagundua ana upungufu up stairs. But he's a good entertainer
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, ana changamoto huyo jamaa.Huyu ukifuatiliaga anacho andika utagundua ana upungufu up stairs. But he's a good entertainer
Ooh kulikua na ukungu kidogoFred na Job Sports Club wanashinda 1 kwa 0 au 2 kwa 1 ila kuna uwezekano wa Kadi Nyekundu na Mchezaji Mmoja Kuumia.
Huyu mpuuz huwa ni bogus na anamikwara mbuzi sanaUnatumia nguvu Kubwa sana kutaka kuonyesha Watu hapa kwamba Wewe ni Moderator ili Uogopwe, Idiot nipe hiyo BAN sawa?
Asanteni sana Wazee wa Kikwajuni Zanzibar hakika safari hii mmeamua kwani haiwezekani tukose vyote kwa 2024 sawa?
Dr Matola PhD na Bujibuji Simba Nyamaume mpo? Kesho sitaki kabisa mkosekane hapa Jamvini JF kuanzia Usiku sawa?
Hahahahaha..uzuri makolo wanapenda kudanganywaSema Genta bwana una hekaya kibao kumbe empty.
Umewaaminisha makolo wenzio kua mtashinda derby kumbe ulikua unawajaza tu.
We kima upo? Mbona kimya?Asanteni sana Wazee wa Kikwajuni Zanzibar hakika safari hii mmeamua kwani haiwezekani tukose vyote kwa 2024 sawa?
Dr Matola PhD na Bujibuji Simba Nyamaume mpo? Kesho sitaki kabisa mkosekane hapa Jamvini JF kuanzia Usiku sawa?
Umemla mhindiMkuu naomba elfu Tano nkale chips na soda,[emoji1787][emoji1787]
kaka nipo sehemu tulivu, mkeka nimekula Simba alipata goli 1 kipindi Cha pili, dakika 73' kouablan alishinda. Laki 5 nimekula 😃😃😃😃Uko wapi kaka??
😂😂
Unakuja kujibu ushamaliza kibunda, jamaa yangu miyeyusho sana wewe.kaka nipo sehemu tulivu, mkeka nimekula Simba alipata goli 1 kipindi Cha pili, dakika 73' kouablan alishinda. Laki 5 nimekula 😃😃😃😃