Ngoja tutunze hii risiti , ila uzi umekaa kimtego haujafunguka nani atapigwa .Asanteni sana Wazee wa Kikwajuni Zanzibar hakika safari hii mmeamua kwani haiwezekani tukose vyote kwa 2024 sawa?
Dr Matola PhD na Bujibuji Simba Nyamaume mpo? Kesho sitaki kabisa mkosekane hapa Jamvini JF kuanzia Usiku sawa?
Umeandika kitaalam haieleweki ni 4-0 au 40Makolo kesho yanakufa 4 0
4-0Umeandika kitaalam haieleweki ni 4-0 au 40
1.Mama J FCSisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Mikia SC.
8. Mazumbukuku SC.
9. Manyaunyau (mapaka) SC.
10. Manyang'au SC.
11. Miso Misondo SC.
12. Mwakarobo SC.
13. Mazombi SC.
14. Kolokhamsa SC.
15. Kolowizards SC.
16. Kinyume nyume SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Bahasha SC.
20. Ngada SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Masandakolozidad SC.
23. 5imba SC.View attachment 2968465
Kimekuramba mkuuKwenye mkeka wangu Nabeti team ya ugenini ( Simba ) apate goli 1 tu kipindi Cha pili, odds 5.47 naweka sh 100,000/- ππππππ
Hadi sasa umepataaa, mkeka wako umetikiiii.Kwenye mkeka wangu Nabeti team ya ugenini ( Simba ) apate goli 1 tu kipindi Cha pili, odds 5.47 naweka sh 100,000/- [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
pole kwa kufungwaAsanteni sana Wazee wa Kikwajuni Zanzibar hakika safari hii mmeamua kwani haiwezekani tukose vyote kwa 2024 sawa?
Dr Matola PhD na Bujibuji Simba Nyamaume mpo? Kesho sitaki kabisa mkosekane hapa Jamvini JF kuanzia Usiku sawa?
Mkuu naomba elfu Tano nkale chips na soda,[emoji1787][emoji1787]Kwenye mkeka wangu Nabeti team ya ugenini ( Simba ) apate goli 1 tu kipindi Cha pili, odds 5.47 naweka sh 100,000/- [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
ulisema ukweli mtupu yametokea tayariYanga wako busy na mazoezi na ku access Hali za wachezaji kama pacome na Yao kama wataanza nyi mpo busy na wazee wa kikwajuni, mkifungwa mnalaumu marefa na wachezaji wenu wenyewe kua wamepewa mlungula
.ndo maana jamaa aliwaita mbu*3
Kudadadeeeki limekufa jitu! Asanteni sana wazee wa Kikwajuni!Asanteni sana Wazee wa Kikwajuni Zanzibar hakika safari hii mmeamua kwani haiwezekani tukose vyote kwa 2024 sawa?
Dr Matola PhD na Bujibuji Simba Nyamaume mpo? Kesho sitaki kabisa mkosekane hapa Jamvini JF kuanzia Usiku sawa?
Pyee pyeee.....π€£ππ€£ππ€£Asanteni sana Wazee wa Kikwajuni Zanzibar hakika safari hii mmeamua kwani haiwezekani tukose vyote kwa 2024 sawa?
Dr Matola PhD na Bujibuji Simba Nyamaume mpo? Kesho sitaki kabisa mkosekane hapa Jamvini JF kuanzia Usiku sawa?
Uko wapi kaka??Kwenye mkeka wangu Nabeti team ya ugenini ( Simba ) apate goli 1 tu kipindi Cha pili, odds 5.47 naweka sh 100,000/- ππππππ