Aliyekuambia Kesho kuna 'Droo' nani? Kudadaeki Kesho linakufa Jitu kwa Mkapa na tusikiambiane tu hapa JF sawa?

Uko wapi kaka??
πŸ˜‚πŸ˜‚
kaka nipo sehemu tulivu, mkeka nimekula Simba alipata goli 1 kipindi Cha pili, dakika 73' kouablan alishinda. Laki 5 nimekula πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
kaka nipo sehemu tulivu, mkeka nimekula Simba alipata goli 1 kipindi Cha pili, dakika 73' kouablan alishinda. Laki 5 nimekula πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Unakuja kujibu ushamaliza kibunda, jamaa yangu miyeyusho sana wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…