FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #181
Tanzania ilishindwa kukopa pesa ikajenga hilo bwawa wenyewe kisha hizo megawati 27 tukawauzia kilammmoja na pesa ikatumika kulipa mkopo? Hadi tuombe mchango wao kwenye ujenzi wa bwawa letu?, kumbuka, hizo megawati 27 kwa kila mmoja watachukua milele, unajua ni kiasi gani cha pesa hicho?rwanda na rundi awajachangia chochote?
Kwanini kila mtu asingejenga bwawa lake kwake, kwanini wategemee bwawa la Tz?Bwana linazalisha MW 80 tuu kidogo sana watatumia kagera huko huko.
Sasa sijajua watu mnapaniki nn humu.
Inategemeana na makubaliano.
Nyie Mnataka switch ikakaewapi??
Maana mpaka mpaka ni mto ,
Mnataka switch ikae mtoni??
Mbona tazara mkurigenzi ni Mzambia miaka na miaka mbona hamsemi .
Vurugu tupu, kwanini bwawa la umeme liwe Tz halafu switch zikawekwe Rwanda? Simple questionKwamba umeme unazalishwa alafu unasafirishwa mpaka sehemu fulani ili ndio uweze kurudi sehemu fulani ?!!!
Sibishi lakini unaweza kuniambia kwa ufupi electricity generation na distribution inavyofanya kazi ?
Yaani umeme unakuwa sio umeme mpaka ukawashwe na switch fulani ? Kwahio ukiweka na switch nyingine huku kwani ya kule itafanya kazi ? Na efficiency ni ipi kwa switch kuwa hapa au pale ?
Kwahiyo Congo wanamiliki asilimia ngapi ya hili bwawa 😂wtz wanadhani hayo maji niyatanzania kumbe sivio huo mto unatoka kwenye mapolomoko ya kongo kisha rwanda kisha burundi atimae ngara unamwaga ziwani ukichunguza tz ndio inayo faidika zaidi
Umeme unaozalishwa na bwawa la Aswan huko Misri, Tz na Ethiopia tunamiliki asilimia ngapi?wako vipi?huo umeme unategemea mto rusumo mto huo unatoka rwanda unapitia burundi kisha tz huo umeme ni wenu vipi?
Maji ya mto yale kaka.Kwanini kila mtu asingejenga bwawa lake kwake, kwanini wategemee bwawa la Tz?
Toa sababu 1 kwanini switch imewekwa Rwanda na si TzMaji ya mto yale kaka.
Na kumbuka mto ndo mpaka.
Afu mnasema switch kukaa kule kuna shida, shida gani.
Mbona hamjasema kuhusu Burundi ambao hawajatoa hata sh lakini wanapata nao sawa na wengine. Ambayo ni 26.6 megawatts Kila nchi.
Na wafanyakazi wa pale station wanachaguliwa watu kutoka sehemu zote tatu ndo wanakuwawanaendesha mitambo kule.
Waulize mzee wa msoga maana makubaliano walifanya 2012Toa sababu 1 kwanini switch imewekwa Rwanda na si Tz
Maana naona mnasingizia magufuli makubaliano yalifanyika mwaka 2012 ambako kikwete ndo alikuwa rais.Toa sababu 1 kwanini switch imewekwa Rwanda na si Tz
"The power production facilities are located entirely on the south side of the bank of the Kagera River in Tanzania, while the substation is located on the northern side of the bank of the river in Rwanda."Toa sababu 1 kwanini switch imewekwa Rwanda na si Tz
Mkuu soma commect zangu .Yote hayo yalifanywa na huyo mwendazake wenu aka intarahamwe aka mhutu....
Nimekuuliza, toa sababu 1 tu, kwanini switch zifungwe Rwanda na si Tanzania? Kama Bwawa lipo Tz ni kwanini tusingekopa na kulijenga wenywe kisha tuwauzie hizo mega watt 27 na kulipa deni? Ya nini kupeleka switch Rwanda na kuwapa umeme wetu bure?Maana naona mnasingizia magufuli makubaliano yalifanyika mwaka 2012 ambako kikwete ndo alikuwa rais.
Kama bwawa lipo ngara Tz na switch ikiwepo kule kwani unaona kuna madhara gani??
Wao wanatuzimia switch, sisi tunazima tabani za kizalisha umeme.
Sijajua kinachokuuma wewe nn.
Yani wewe kwani mm nilikuwepo kwenye mkubalino kipindi cha kikwete.Nimekuuliza, toa sababu 1 tu
Sasa kama hukuwepo, funga hilo bakuli lako, wacha waliokuwepo waje kujibu.Yani wewe kwani mm nilikuwepo kwenye mkubalino kipindi cha kikwete.
Hayo maji ni mto kumbuka mto ndo mpaka , kila nchi inahaki ya kutumia hayo maji sawa mkuu, usiwe kama mtu ambaye uelewi.Kama Bwawa lipo Tz ni kwanini tusingekopa na kulijenga wenywe kisha tuwauzie hizo mega watt 27 na kulipa deni? Ya nini kupeleka switch Rwanda na kuwapa umeme wetu bure?
Acha chuki zako na rwanda , sijajua kwa nini unakiisirani , maana nimeona humu watu wanamsingizia magu wakati makubaliano walifanya 2012 na kikwete.Sasa kama hukuwepo, funga hilo bakuli lako, wacha waliokuwepo waje kujibu.
Tumetoka mbali sana😀😀Nyuzi Kama hizi ukichangia kwa mihemko unajikuta unabinywa kende na wasiojulikana
Sasa kama hukuwepo, funga hilo bakuli lako, wacha waliokuwepo waje kujibu.
Ni kwanini sasa kila mtu asijenge bwawa kwake hadi wategemee huruma ya bwawa la Tz? Kila mtu si angejenga kwake?Hayo maji ni mto kumbuka mto ndo mpaka , kila nchi inahaki ya kutumia hayo maji sawa mkuu, usiwe kama mtu ambaye uelewi.
Kama kagame alikuwa anataka bwawa lake si angejenga kweke kulele kwa nini alikubaliana na tz.
Kwani pk hawezi kujenga lake kule.
Jaribu kufikili.
Ipo Miradi mingi mkubwa zaidi ya hio rwanda wanafanya wenyewe .