Aliyekubali Switch za bwawa la umeme la Rusumo Tanzania zikawekwe Rwanda ametumia akili zake ipasavyo?

Aliyekubali Switch za bwawa la umeme la Rusumo Tanzania zikawekwe Rwanda ametumia akili zake ipasavyo?

rwanda na rundi awajachangia chochote?
Tanzania ilishindwa kukopa pesa ikajenga hilo bwawa wenyewe kisha hizo megawati 27 tukawauzia kilammmoja na pesa ikatumika kulipa mkopo? Hadi tuombe mchango wao kwenye ujenzi wa bwawa letu?, kumbuka, hizo megawati 27 kwa kila mmoja watachukua milele, unajua ni kiasi gani cha pesa hicho?
 
Bwana linazalisha MW 80 tuu kidogo sana watatumia kagera huko huko.
Sasa sijajua watu mnapaniki nn humu.
Inategemeana na makubaliano.
Nyie Mnataka switch ikakaewapi??
Maana mpaka mpaka ni mto ,
Mnataka switch ikae mtoni??
Mbona tazara mkurigenzi ni Mzambia miaka na miaka mbona hamsemi .
Kwanini kila mtu asingejenga bwawa lake kwake, kwanini wategemee bwawa la Tz?
 
Kwamba umeme unazalishwa alafu unasafirishwa mpaka sehemu fulani ili ndio uweze kurudi sehemu fulani ?!!!

Sibishi lakini unaweza kuniambia kwa ufupi electricity generation na distribution inavyofanya kazi ?

Yaani umeme unakuwa sio umeme mpaka ukawashwe na switch fulani ? Kwahio ukiweka na switch nyingine huku kwani ya kule itafanya kazi ? Na efficiency ni ipi kwa switch kuwa hapa au pale ?
Vurugu tupu, kwanini bwawa la umeme liwe Tz halafu switch zikawekwe Rwanda? Simple question
 
wtz wanadhani hayo maji niyatanzania kumbe sivio huo mto unatoka kwenye mapolomoko ya kongo kisha rwanda kisha burundi atimae ngara unamwaga ziwani ukichunguza tz ndio inayo faidika zaidi
Kwahiyo Congo wanamiliki asilimia ngapi ya hili bwawa 😂
 
wako vipi?huo umeme unategemea mto rusumo mto huo unatoka rwanda unapitia burundi kisha tz huo umeme ni wenu vipi?
Umeme unaozalishwa na bwawa la Aswan huko Misri, Tz na Ethiopia tunamiliki asilimia ngapi?
 
Kwanini kila mtu asingejenga bwawa lake kwake, kwanini wategemee bwawa la Tz?
Maji ya mto yale kaka.
Na kumbuka mto ndo mpaka.
Afu mnasema switch kukaa kule kuna shida, shida gani.
Mbona hamjasema kuhusu Burundi ambao hawajatoa hata sh lakini wanapata nao sawa na wengine. Ambayo ni 26.6 megawatts Kila nchi.
Na wafanyakazi wa pale station wanachaguliwa watu kutoka sehemu zote tatu ndo wanakuwawanaendesha mitambo kule.
 
Toa sababu 1 kwanini switch imewekwa Rwanda na si Tz
 
Toa sababu 1 kwanini switch imewekwa Rwanda na si Tz
Maana naona mnasingizia magufuli makubaliano yalifanyika mwaka 2012 ambako kikwete ndo alikuwa rais.
Kama bwawa lipo ngara Tz na switch ikiwepo kule kwani unaona kuna madhara gani??
Wao wanatuzimia switch, sisi tunazima tabani za kizalisha umeme.
Sijajua kinachokuuma wewe nn.
 
Toa sababu 1 kwanini switch imewekwa Rwanda na si Tz
"The power production facilities are located entirely on the south side of the bank of the Kagera River in Tanzania, while the substation is located on the northern side of the bank of the river in Rwanda."

Hio ni site ya Rwanda. Soma
 
Maana naona mnasingizia magufuli makubaliano yalifanyika mwaka 2012 ambako kikwete ndo alikuwa rais.
Kama bwawa lipo ngara Tz na switch ikiwepo kule kwani unaona kuna madhara gani??
Wao wanatuzimia switch, sisi tunazima tabani za kizalisha umeme.
Sijajua kinachokuuma wewe nn.
Nimekuuliza, toa sababu 1 tu, kwanini switch zifungwe Rwanda na si Tanzania? Kama Bwawa lipo Tz ni kwanini tusingekopa na kulijenga wenywe kisha tuwauzie hizo mega watt 27 na kulipa deni? Ya nini kupeleka switch Rwanda na kuwapa umeme wetu bure?
 
Kama Bwawa lipo Tz ni kwanini tusingekopa na kulijenga wenywe kisha tuwauzie hizo mega watt 27 na kulipa deni? Ya nini kupeleka switch Rwanda na kuwapa umeme wetu bure?
Hayo maji ni mto kumbuka mto ndo mpaka , kila nchi inahaki ya kutumia hayo maji sawa mkuu, usiwe kama mtu ambaye uelewi.
Kama kagame alikuwa anataka bwawa lake si angejenga kweke kulele kwa nini alikubaliana na tz.
Kwani pk hawezi kujenga lake kule.
Jaribu kufikili.
Ipo Miradi mingi mkubwa zaidi ya hio rwanda wanafanya wenyewe .
 
Sasa kama hukuwepo, funga hilo bakuli lako, wacha waliokuwepo waje kujibu.
Acha chuki zako na rwanda , sijajua kwa nini unakiisirani , maana nimeona humu watu wanamsingizia magu wakati makubaliano walifanya 2012 na kikwete.
Nimekuwekea link ya Rwanda sijajua kama umesoma .
Wamesema kabisa bwawa na main station( dam site na power house) yani production facilities za umeme zipo tz lakini Rwanda ipo substation kwa matumizi yao.
Sijajua kwa nn unalalmika ujatoa sababu.
Nimekuuliza Burundi hawajatoa hata sh ila wamepata mgao sawa na wengine .
Bwawa linazalisha Megawati 80 na bwawa lipo tz maeneo ya mpakani mwa tz an Rwanda .
Na Burundi ni mbali kutoka hapo.
Ila Burundi wanapata sawa na wengine ambayo ni 26.6 Megawati.
Mbona ujalalamika kuhusu Burundi hata Rwanda pk mwenyewe unasema mkorofi anaweza zima switch hajalalamika kuhusu hilo sembuse wewe.
 
"Transmission Lines and Substations: Construction of Transmission Lines is financed by the African Development Bank (AfDB) and implementation by Utilities of Shareholders: REGIDESO, REG and TANESCO. RPCL through Rusumo Project envisages construction of three associated double circuit 220 kV transmission lines, each to respective national grids in grids in Gitega (Burundi) for 161km, in Bugesera (Rwanda) for 109 km and in Nyakanazi (Tanzania) for 98 km. Substations will be located respectively in Muyinga and Gitega (Burundi), Birembo and Bugesera (Rwanda) as well as in Nyakanazi (Tanzania); only one circuit of each line will be strung."

Sasa kama hukuwepo, funga hilo bakuli lako, wacha waliokuwepo waje kujibu.
 
Hayo maji ni mto kumbuka mto ndo mpaka , kila nchi inahaki ya kutumia hayo maji sawa mkuu, usiwe kama mtu ambaye uelewi.
Kama kagame alikuwa anataka bwawa lake si angejenga kweke kulele kwa nini alikubaliana na tz.
Kwani pk hawezi kujenga lake kule.
Jaribu kufikili.
Ipo Miradi mingi mkubwa zaidi ya hio rwanda wanafanya wenyewe .
Ni kwanini sasa kila mtu asijenge bwawa kwake hadi wategemee huruma ya bwawa la Tz? Kila mtu si angejenga kwake?
 
Back
Top Bottom