Aliyekubali Switch za bwawa la umeme la Rusumo Tanzania zikawekwe Rwanda ametumia akili zake ipasavyo?

Yani umeme uwe wangu,main switch iwe kwa jirani? ikitokea shot nakurupuka na kukumbilia kwa jirani kumgongea geti, mlinzi nae anipige mkwara kidogo,ndio aende akamuamshe ,akiwa anagegeda inabidi usubiri amalize, wakati huo nyumba imegeuka kuwa tanuri
 
Mkopo ni msaada? Si tunaulipa kwa 100% with intrest? Unavuta bangi kwa makalio? Kwanini mnapenda kutia watu hasira kiasi hiki?
 
Kumbuka tanzania mradi huu imekopa asilimia mia moja nimecheka kibwege sana alafu rwanda wamekopa asilimia 50.tu na rwanda asilimia 50.hivo kwa walio toa tasilimu kwenye mradi huu ndio waliopata nguvu ya maamuz je ngojera z tunagharamia kwa fedha za ndani zilienda wapi? mitano tena.
 
Kuna mkopo wenye mashariti

Na kuna mkopo wenyewe mashariti nafuuu.

Inategemea unazungumzia mkopo wa aina gan???
Basi sawa, wacha wajenge hizo switch huko, na sisi tunajenga switch zetu huku, halafu tuone switch za nani zitawahi kuunganishwa kwenye bwawa😂😂🤣
 
PIDMkopo ni msaada? Si tunaulipa kwa 100% with intrest? Unavuta bangi kwa makalio? Kwanini mnapenda kutia watu hasira kiasi hiki?
Hivi unaweza kusema nini kimekufanya utukane hapo?

Btw, hivi ungekuwa na akili timamu ungehoji suala la switch kuwa Rwanda wakati ni mradi wa nchi 3 kwa pamoja na kwahiyo hiyo switch lazima iwe kwenye moja ya hizo nchi?

Kwanini uone inastahili kuwa TZ na sio Rwanda au Burundi?

VERY STUPID!
 
Habari zisizo rasmi za nini kuzileta humu JF?
 
Nilichoelewa ni mradi wa kiushirika(tzed, rwanda na burundi) so, kila mmoja ameshirikishwa na kupata nafasi ya kuwa mmoja wa mradi hii ni kwa ajili ya security endapo washirika watakiuka makubaliano.

Nimeelewa mradi ulianza utekelezwaji 2014, lakin kilichonishangaza ni engineer kusifia awamu ya 5.... huu ndo upumbavu uliobakia kufutwa kwe vichwa vya wanaojiita wasomi wa nchi hii... mtu kama yule hachelewi kuchakachua data zozote zenye manufaa kwa anayemuongoza, mtu kama huyu hafai kupewa nafasi ya usimamiz wa mradi km huu kwa sababu ni rahisi hata kufanya hujuma kwa maslahi...

Vinginevyo napongeza uwepo wa mradi na tuutunze kwa msaada wenzetu watakaohudumiwa na mradi.
 
Hii AWAMU huwa wanajisifia hadi ujenzi wa UDSM, UDOM, SUA, Mzumbe n.k!

Na kama ulivyosema, mradi ulianza tangu 2014, na pesa ziliidhinishwa in 2013!
 
Wasije tu majirani zetu wale kutucheka
 
Hii AWAMU huwa wanajisifia hadi ujenzi wa UDSM, UDOM, SUA, Mzumbe n.k!

Na kama ulivyosema, mradi ulianza tangu 2014, na pesa ziliidhinishwa in 2013!
Kuna upumbavu flan unaendelea saiv adi unawish km ungekua muandishi wa habar umnase kibao ukiskia anaropoka sifa za kijinga wakat ye mwenyewe ndo katoa takwimu zinazoonesha nani anastahili pongez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…