Aliyekubali Switch za bwawa la umeme la Rusumo Tanzania zikawekwe Rwanda ametumia akili zake ipasavyo?

Aliyekubali Switch za bwawa la umeme la Rusumo Tanzania zikawekwe Rwanda ametumia akili zake ipasavyo?

Acha chuki zako na rwanda , sijajua kwa nini unakiisirani , maana nimeona humu watu wanamsingizia magu wakati makubaliano walifanya 2012 na kikwete.
Nimekuwekea link ya Rwanda sijajua kama umesoma .
Wamesema kabisa bwawa na main station( dam site na power house) yani production facilities za umeme zipo tz lakini Rwanda ipo substation kwa matumizi yao.
Sijajua kwa nn unalalmika ujatoa sababu.
Nimekuuliza Burundi hawajatoa hata sh ila wamepata mgao sawa na wengine .
Bwawa linazalisha Megawati 80 na bwawa lipo tz maeneo ya mpakani mwa tz an Rwanda .
Na Burundi ni mbali kutoka hapo.
Ila Burundi wanapata sawa na wengine ambayo ni 26.6 Megawati.
Mbona ujalalamika kuhusu Burundi hata Rwanda pk mwenyewe unasema mkorofi anaweza zima switch hajalalamika kuhusu hilo sembuse wewe.
Burundi kuna switch yard inajengwa huko? Toa sababu moja kwanini Switch Yard ijengwe Rwanda na si Tanzania
 
Ni kwanini sasa kila mtu asijenge bwawa kwake hadi wategemee huruma ya bwawa la Tz? Kila mtu si angejenga kwake?
Nishakuambia kuwa hio hapo . Juuhata rwanda wametoa nusu ya Gharama sijui unajua hilo.
Maji ya mto , na kila mmoja anahaki ya kutumia wakaamja kushare pamoja . Sasa sijajua wewe unataka nn.
 
Burundi kuna switch yard inajengwa huko? Toa sababu moja kwanini Switch Yard ijengwe Rwanda na si Tanzania
Nimekuwekea link juu kila nchi ina chukua umeme kutoa production site hapo ngara na kujenga substation yake binafsi sasa wewe unasema switch kwenda kuweka kule,
Hayo nimekujibu juu.
Hata mwenyewe sijajua unalalamika nn maana huna hoja.
Kila kitu nimekuwekea juu hapo.
 
Nishakuambia kuwa hio hapo . Juuhata rwanda wametoa nusu ya Gharama sijui unajua hilo.
Maji ya mto , na kila mmoja anahaki ya kutumia wakaamja kushare pamoja . Sasa sijajua wewe unataka nn.
Kama bwawa limejengwa Tz, ni kwanini Tz imeomba mchango wa pesa toka Rwanda wakati tungeweza kukopa, tukajenga wenyewe na kuwauzianhizo megawatt 27 ili tulipe mkopo?
 
Hata kama imejengwa kule wewe unawashwa nn huku. Kama wamekubaliana hivyo.
Mbona uhumii Burundi kuchukua ambao hawajatoa hata shilingi.
😁😁😁
 
Hata kama imejengwa kule wewe unawashwa nn huku. Kama wamekubaliana hivyo.
Mbona uhumii Burundi kuchukua ambao hawajatoa hata shilingi.
😁😁😁
Kuna switch yard inajengwa Burundi? Toa sababu 1 kwanini switch yard ijengwe Rwanda na si Tz?
 
"Financing for the Regional Rusumo hydropower plant​

The World Bank approved a loan of $340m for the project in August 2013. The loan liability is being divided equally among the governments of Burundi, Rwanda and Tanzania.

In November 2013, the African Development Bank Group (AfDB) provided a $97.3m grant from the African Development Fund and the Nigeria Trust Fund (NTF) for the project. AfDB is providing an additional $16m grant from the EU-Africa Infrastructure Trust Fund.

Additional financial assistance is being provided by the KfW Development Bank (Germany), the European Investment Bank, Agence Française de Développement (AFD France), Swedish International Development Cooperation Agency (Sweden) and others."

Kwani tunaongea ya misri😅😅🤣🤣🤣
Nimekuuliza kwa mfananisho na mlinganisho, ukijua anaemiliki maji ya Aswan Dam Misri utajua nani anamiliki maji ya bwawa Rusumo. Kwamba mmiliki ni mwenye bwawa au mwenye chanzo cha mto.
 
Nimekuuliza kwa mfananisho na mlinganisho, ukijua anaemiliki maji ya Aswan Dam Misri utajua nani anamiliki maji ya bwawa Rusumo. Kwamba mmiliki ni mwenye bwawa au mwenye chanzo cha mto.
Hivi unajua misri ndo walipewa umiriki wa maji ya mto nile yote hata maji ya ziwa Victoria kisa nile ndio chanzo hapo unajua hilo kwanza. Walipewa hivyo na wakoloni
 
Hivi unajua misri ndo walipewa umiriki wa maji ya mto nile yote hata maji ya ziwa Victoria kisa nile ndio chanzo hapo unajua hilo kwanza. Walipewa hivyo na wakoloni
Kwahiyo Rwanda alipewa na nani hayo maji, na Tanzania akanyimwa nani?
 
Na unajua bwawa walijenga mwaka gani hilo.
Ambako kwa sasa huo umiriki no body care. Ndo maana hata Ethiopia wakaamua kujenga wa bwawa lao. Na ilileta mgogoro sana kisa , misri walipewa umiliki.
Inaana hata sisi tukitaka kutumia maji ya Victoria tuwaombe wamisri.
 
Sawa, Ethiopia kajenga, kwanini nasi hatukujenga wenyewe na kuuza huo umeme kuliko hivi sasa tunagawa megawati 27 bure kabisa
 
Kwahiyo Rwanda alipewa na nani hayo maji, na Tanzania akanyimwa nani?
Kaka hata ukanuna na kupasuka , we nuna na kupasuka kaka.
Mto kagera ndio mpaka pamoja na maji yale.
Wameamua kutumia maji yale kwa pamoja.

Mafano kwa hoja yako unasema rwanda wanenge bwawa lao. Okay sawa.
Sisi Tanzania tunajenga bwawa letu. Na tunatumia maji ya mto kagera.
Rwanda nao wanaamua kujenga bwawa lao kwa kutumia maji ya kagera ila wanajenga nyuma yetu sisi.
Inamaanisha kuwa bwawa ketu sisi litapungua maji kama wakiamua kujenga nyuma hetu chukuria mfano na Burundi waamue kujenga nyuma zaidi unafikili unafikili kitatokea nn.
 
Sawa, Ethiopia kajenga, kwanini nasi hatukujenga wenyewe na kuuza huo umeme kuliko hivi sasa tunagawa megawati 27 bure kabisa
Mkuu uwe unasoma link na comments za bure. Tanzania ijatoa pesa yote hapo ni mkopo kutoka kwenye banks wametoa equal kwa nchi husika . Sawa
Tanzania hatumili hapo japonica bwawa na lipo huku. Sijui unanielewa.
 
Kaka hata ukanuna na kupasuka , we nuna na kupasuka kaka.
Mto kagera ndio mpaka pamoja na maji yale.
Wameamua kutumia maji yale kwa pamoja.

Mafano kwa hoja yako unasema rwanda wanenge bwawa lao. Okay sawa.
Sisi Tanzania tunajenga bwawa letu. Na tunatumia maji ya mto kagera.
Rwanda nao wanaamua kujenga bwawa lao kwa kutumia maji ya kagera ila wanajenga nyuma yetu sisi.
Inamaanisha kuwa bwawa ketu sisi litapungua maji kama wakiamua kujenga nyuma hetu chukuria mfano na Burundi waamue kujenga nyuma zaidi unafikili unafikili kitatokea nn.
Kwahiyo Bwawa liko mpakani au liko Tanzania?
 
Back
Top Bottom