Acha chuki zako na rwanda , sijajua kwa nini unakiisirani , maana nimeona humu watu wanamsingizia magu wakati makubaliano walifanya 2012 na kikwete.
Nimekuwekea link ya Rwanda sijajua kama umesoma .
Wamesema kabisa bwawa na main station( dam site na power house) yani production facilities za umeme zipo tz lakini Rwanda ipo substation kwa matumizi yao.
Sijajua kwa nn unalalmika ujatoa sababu.
Nimekuuliza Burundi hawajatoa hata sh ila wamepata mgao sawa na wengine .
Bwawa linazalisha Megawati 80 na bwawa lipo tz maeneo ya mpakani mwa tz an Rwanda .
Na Burundi ni mbali kutoka hapo.
Ila Burundi wanapata sawa na wengine ambayo ni 26.6 Megawati.
Mbona ujalalamika kuhusu Burundi hata Rwanda pk mwenyewe unasema mkorofi anaweza zima switch hajalalamika kuhusu hilo sembuse wewe.