Aliyekutangulia Kakutangulia tu! Tulieni



Wataelewa tu
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] baelezee baelewe.
Leo ndiyo nimeaza kuelewa tofauti kati ya kusoma na kuelimika.
 
Tatizo vijana waliojiunga hivi karibuni hawana adabu kwa wakubwa zao.....yale mambo na matukio yao wanayoyafanya huko wakiwa vichochoroni na watoto wenzao wanataka kuyaleta hapa....hawajui kuwa hapa ni kuna mjumuiko wa watu mbali mbali wakiwamo pia wazee wao.........

Haijalishi wewe ni mgeni au ni mwenyeji bali unachotakiwa ni kuwa na heshima na watu wa humu na kuepukana na lugha chafu.....hakika utajisikia kama upo nyumbani.....
 
Wanaitana makapuku! ushamba mwingine mzigo.
nimemwona na Jimena.
 
Leo ndo nimejua kuwa mimi ni maarufu.

Ngoja nikusanye nguvu nigombee ubunge.

Ahsante kwa taarifa kiongozi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…