Aliyekutoa bikra ndiye aliyecheza na usichana wako, wengine hatuhusiki kabisa


Point kabisa alafu chakushangaza wakati wakuolewa eti wanataka mahali kubwaaa wati mtu used. Mie nabeba kwa bei che hutaki basi. Value yako ilishashuka.
 
Point kabisa alafu chakushangaza wakati wakuolewa eti wanataka mahali kubwaaa wati mtu used. Mie nabeba kwa bei che hutaki basi. Value yako ilishashuka.
Wewe hakuna ambaye umewahi kumtoa bikira?
 
Mkuu nimesoma Heading to nineelewa content yote, umemaliza ukweli wote, aliyemtoa bikra na hakumuoa ndiye aliyemharibia sisi njia tunapita tu aliyeifyeka ndiye mbaya wao.
 
Duuh! Ila wewe mkuu haukuwahi kumfanyia visa vyovyote vile? Mfano kumpiga au kumsaliti
Aliuza mechi alafu dharau nying,jeuri nyingi anawaambia marafik zake siwezi kumuacha kwa sababu nlimbikiri, nlishindwa vumilia upuuz wake nkamuacha zimebaki lawama tu anadai nlitaka kumchezea tu na laana kaniachia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…