Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Kiruuu 😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiruuu 😅😅
Na mie nimepata amani moyoni...asante sana kwa upendo mkuu
Yarabii, [emoji3] [emoji3]Eti utaskia wanasema ""umenipotezea muda wangu"" kwani Mimi umenipotezea nini? Mapumbu au... Acheni hzo
Jamanii, tusameheni tu[emoji30]Utasikia wanasema usingekuwa we kunichezea na kuni aribu nisinge kuwa hivi na hapo una mkuta hana zote bikra mbili ya nyuma na mbele
Kwani amsemag hvo eti mdada financial services?Yarabii, [emoji3] [emoji3]
WAKUU NADHAN TUANZE KUKIFANYA NDO KAULI MBIU YETU MAANA KIMEKAA FRESH KABSA
MABAHARIA LAWAMA KULE
Joanah bana[emoji120]For some reasons ulichoandika ni sawa kabisa
Kwani wanaume mna cha kupoteza kwenye mapenzi?Eti utaskia wanasema ""umenipotezea muda wangu"" kwani Mimi umenipotezea nini? Mapumbu au... Acheni hzo
Unamuonea huruma kwa maneno tu au siyo? Je umemuoa au utamuoa?Ninamuonea huruma yule tu nilie mtoa ubikra wake waliobaki mtanisamehe
Kuna mjinga mmoja ananilaum ad leo kwa upumbav wake, kisa nilimbikiri ndio anaona ni tiketi ya kufanya ndivyo sivyo alaf asiachike
Heshima wapi mbinguni au?Nini ambacho kina ladha sasa?
Ni heshima kubwa san kukata utepe
Wanawake sikilizeni kuna kitabia mnacho ambacho binafsi huwa kinatukera sana sisi wanaume. Wanawake nataka niwambie ukweli utakuta mmekwaruzana na demu/mpenzi wako afu anakwambia "NILIJUA TU UTAKUJA KUNIACHA NA KUCHEZEA USICHANA WANGU" Kina dada Aliyekuharibia usichana wako ni Mwanaume aliyekutoa BIKRA kisha akauacha huyo ndo mpe hzo lawama me niliyekukuta huna Bikra usinipe hzo lawama hta kama nakuacha kiroho safi kuwa Mpole, mpe hzo lawama aliyekutoa bikra akauacha. Sijakukuta na Bikra afu useme nmechezea Ubinti wako shenzi kabisa.
Wanaume ukiona mwanamke anakwambia hvo, Mwambie aliyeharibu usichana wako aliyekutoa bikra akauacha me hata..
NB: Karibuni 5N mliman hapa kwa aliye karibu tunywe maji.
Aliuza mechi alafu dharau nying,jeuri nyingi anawaambia marafik zake siwezi kumuacha kwa sababu nlimbikiri, nlishindwa vumilia upuuz wake nkamuacha zimebaki lawama tu anadai nlitaka kumchezea tu na laana kaniachia [emoji23][emoji23][emoji23]Alifanyaje??
Wewe hakuna ambaye umewahi kumtoa bikira?Point kabisa alafu chakushangaza wakati wakuolewa eti wanataka mahali kubwaaa wati mtu used. Mie nabeba kwa bei che hutaki basi. Value yako ilishashuka.
Mkuu nimesoma Heading to nineelewa content yote, umemaliza ukweli wote, aliyemtoa bikra na hakumuoa ndiye aliyemharibia sisi njia tunapita tu aliyeifyeka ndiye mbaya wao.Wanawake sikilizeni kuna kitabia mnacho ambacho binafsi huwa kinatukera sana sisi wanaume. Wanawake nataka niwambie ukweli utakuta mmekwaruzana na demu/mpenzi wako afu anakwambia "NILIJUA TU UTAKUJA KUNIACHA NA KUCHEZEA USICHANA WANGU" Kina dada Aliyekuharibia usichana wako ni Mwanaume aliyekutoa BIKRA kisha akauacha huyo ndo mpe hzo lawama me niliyekukuta huna Bikra usinipe hzo lawama hta kama nakuacha kiroho safi kuwa Mpole, mpe hzo lawama aliyekutoa bikra akauacha. Sijakukuta na Bikra afu useme nmechezea Ubinti wako shenzi kabisa.
Wanaume ukiona mwanamke anakwambia hvo, Mwambie aliyeharibu usichana wako aliyekutoa bikra akauacha me hata..
NB: Karibuni 5N mliman hapa kwa aliye karibu tunywe maji.
Aliuza mechi alafu dharau nying,jeuri nyingi anawaambia marafik zake siwezi kumuacha kwa sababu nlimbikiri, nlishindwa vumilia upuuz wake nkamuacha zimebaki lawama tu anadai nlitaka kumchezea tu na laana kaniachia [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakaziacomments za ustaarabu please