Aliyekutoa bikra ndiye aliyecheza na usichana wako, wengine hatuhusiki kabisa

Mkuu mwanaume kuwa bikira siyo dhambi wala siyo fedheha hivi mbona mnalazimisha utofauti wa wanaume kwenye kila kitu? Kwa taarifa yako wote wanaume na wanawake wanaweza kuwa mabikira

Ila tofauti ndiyo ipo hivyo kama ulivyosema kuwa bikira ya mwanamke ina alama ila bikira ya mwanaume haina alama na ndiyo maana kwenye biblia ikasisitizwa sana ya mwanamke kuliko ya mwanaume ila ndiyo haimaanishi kwamba mwanaume hana au hatakiwi kujitunza kumbuka maandiko yanakataza uzinzi na uasherati kwa jinsia zote na siyo kwa wanawake tu

Kwahiyo ninyi bikira zenu kutokuonekana haimaanishi kwamba ndiyo ticket ya kufanya dhambi ya umalaya mnavyojisikia maandiko yako pale pale kuwa ni dhambi na wanawake na wanaume tutatofautiana kote ila siyo kwenye dhambi

Yaani kwenye dhambi wote tuko sawa maana hakuna jinsia iliyoruhusiwa kutenda dhambi na maandiko hayapo kwa ajili ya wanawake tu bali wote hivyo mwanaume malaya na mwanamke malaya wote wana dhambi sawa mbele za Mungu na wakitubu wote wanasamehewa kwahiyo hapo usinibishie mimi tena mbishie Mungu maana najua utasema nataka ushindani au usawa wakati mimi nafuata maandiko
Najua unataka kuleta tafsiri ya kitoto kuwa bikra ni hali ya mwanamke au mwanaume kutokuwahi kufanya mapenzi.
.
Maandiko ya Biblia wakati wa zamani ilikuwa mwanamke haolewi kama hana bikra alikuwa anauwawa kwa sababu kazini kabla ya ndoa, katika maandiko yoote huwezi kukuta bikra Daniel au bikira Hashim hakuna ila utakuta bikira Maria.
.
Ule utando unaoziba njia ya uke isiwe bwalo iwe ndogo sana ndio bikira yenyewe siku hogo likipita lazima ukione cha moto kwa sababu patatanuka.
.
Sasa ukiambiwa uionyeshe bikra kwa mwanaume utaweza? Au utaleta porojo kwamba kama hajawahi kufanya mapenzi basi ni bikra? Utakuwa unaumwa dengue kwa mwanamke nakuonyesha ilivyo kabisa hata ukitaka picha
 
Hawa aliumbwa kwa ajili ya Adam,na si Adam kwa ajili ya Hawa.
Ndio maana Kama mwanaume hajui kitu anaitwa fala,na mwanamke akiwa anajua kila kitu anaitwa malaya
Halafu hao wanaume ambao wanatakiwa wajue kila kitu watajulia wapi ikiwa wanawake wote watajitunza?
 
Mkuu mwanaume kuwa bikira siyo dhambi wala siyo fedheha hivi mbona mnalazimisha utofauti wa wanaume kwenye kila kitu? Kwa taarifa yako wote wanaume na wanawake wanaweza kuwa mabikira

Ila tofauti ndiyo ipo hivyo kama ulivyosema kuwa bikira ya mwanamke ina alama ila bikira ya mwanaume haina alama na ndiyo maana kwenye biblia ikasisitizwa sana ya mwanamke kuliko ya mwanaume ila ndiyo haimaanishi kwamba mwanaume hana au hatakiwi kujitunza kumbuka maandiko yanakataza uzinzi na uasherati kwa jinsia zote na siyo kwa wanawake tu

Kwahiyo ninyi bikira zenu kutokuonekana haimaanishi kwamba ndiyo ticket ya kufanya dhambi ya umalaya mnavyojisikia maandiko yako pale pale kuwa ni dhambi na wanawake na wanaume tutatofautiana kote ila siyo kwenye dhambi

Yaani kwenye dhambi wote tuko sawa maana hakuna jinsia iliyoruhusiwa kutenda dhambi na maandiko hayapo kwa ajili ya wanawake tu bali wote hivyo mwanaume malaya na mwanamke malaya wote wana dhambi sawa mbele za Mungu na wakitubu wote wanasamehewa kwahiyo hapo usinibishie mimi tena mbishie Mungu maana najua utasema nataka ushindani au usawa wakati mimi nafuata maandiko
Biolojia gani umesoma!?
 
Back
Top Bottom