Aliyekutoa bikra ndiye aliyecheza na usichana wako, wengine hatuhusiki kabisa

Aliyekutoa bikra ndiye aliyecheza na usichana wako, wengine hatuhusiki kabisa

Wale wa haki sawa, mnaona maana?
Screenshot_20190819-213618~2.jpeg
 
Nakujua ila siwezi kukwambia jinsi gani ninavyokujua maana utaanza kunisumbua

Nimemaanisha wale wale team vitombi tu yaani team wanawake wengi
Unijui Jina langu halina R kabisa au ndio umemaanisha hili la fake ID ?
Wale wale kivipi?
 
Unaongelea uumbaji halafu bado unamkosoa huyo huyo Mungu aliyekataza uzinzi na uasherati tena kwa jinsia zote aise hivi huwa una muda hata wa kusoma maandiko kweli?
Siwezi kumkosoa Mungu,nifanya hivyo nikiweza kujiumba upya ,tukienda kwenye maandiko wote wawili mnatakiwa muoane mkiwa hamjui chochote ,la sivyo Kama mume anajua iwe tayari ana mke mwingine na anaoa wa pili
 
Si kuitafutia maana bana[emoji3] [emoji3] ,kweli tunaonekana sisi ndyo tutumiakao zaidi , acheni kutuchezeaa[emoji3]
Hizi lawama mpe kiongoz wetu bibie[emoji23][emoji23]

Sisi wafuasi wala haituhusu. Tena ambao hatujafumania bikira ndo tuachweee kabsa hata lawama tusipewe na mtushukuru sana[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom