Aliyekutoa bikra ndiye aliyecheza na usichana wako, wengine hatuhusiki kabisa

Mkuu mwanaume kuwa bikira siyo dhambi wala siyo fedheha hivi mbona mnalazimisha utofauti wa wanaume kwenye kila kitu? Kwa taarifa yako wote wanaume na wanawake wanaweza kuwa mabikira

Ila tofauti ndiyo ipo hivyo kama ulivyosema kuwa bikira ya mwanamke ina alama ila bikira ya mwanaume haina alama na ndiyo maana kwenye biblia ikasisitizwa sana ya mwanamke kuliko ya mwanaume ila ndiyo haimaanishi kwamba mwanaume hana au hatakiwi kujitunza kumbuka maandiko yanakataza uzinzi na uasherati kwa jinsia zote na siyo kwa wanawake tu

Kwahiyo ninyi bikira zenu kutokuonekana haimaanishi kwamba ndiyo ticket ya kufanya dhambi ya umalaya mnavyojisikia maandiko yako pale pale kuwa ni dhambi na wanawake na wanaume tutatofautiana kote ila siyo kwenye dhambi

Yaani kwenye dhambi wote tuko sawa maana hakuna jinsia iliyoruhusiwa kutenda dhambi na maandiko hayapo kwa ajili ya wanawake tu bali wote hivyo mwanaume malaya na mwanamke malaya wote wana dhambi sawa mbele za Mungu na wakitubu wote wanasamehewa kwahiyo hapo usinibishie mimi tena mbishie Mungu maana najua utasema nataka ushindani au usawa wakati mimi nafuata maandiko
 
Hawa aliumbwa kwa ajili ya Adam,na si Adam kwa ajili ya Hawa.
Ndio maana Kama mwanaume hajui kitu anaitwa fala,na mwanamke akiwa anajua kila kitu anaitwa malaya
Halafu hao wanaume ambao wanatakiwa wajue kila kitu watajulia wapi ikiwa wanawake wote watajitunza?
 
Shida sio sisi kuoa, ila nyie ndo mna shida kwann uanze kuweka masharit wakat mi si wakwanza kula
Kwahiyo kwani atakayekuja kumuoa ni lazima awe wa kwanza kula?
 
Biolojia gani umesoma!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…