Aliyekutoa bikra ndiye aliyecheza na usichana wako, wengine hatuhusiki kabisa

Oohh kwahiyo unashauri kwamba wanawake wajitunze ili waolewe wakiwa na bikira zao ila wakishaolewa waanze kuchepuka na wanaume ambao hawajaoa si ndiyo?
Kwa wake za watu
 
Siwezi kumkosoa Mungu,nifanya hivyo nikiweza kujiumba upya ,tukienda kwenye maandiko wote wawili mnatakiwa muoane mkiwa hamjui chochote ,la sivyo Kama mume anajua iwe tayari ana mke mwingine na anaoa wa pili
Sasa mbona huko juu ulikuwa unaongea tofauti au wewe haufuati maandiko ya Mungu unafuata tamaduni za mizimu ya mababu?
 
Ili mradi mnatongoza na mnaomba kwa lengo la kupiga na kusepa lazima mlaumiwe tu kwanini mfanye hivyo? Kama hautaki lawama si bora utafute mmoja umuoe utulie naye?
Hizi lawama mpe kiongoz wetu bibie[emoji23][emoji23]

Sisi wafuasi wala haituhusu. Tena ambao hatujafumania bikira ndo tuachweee kabsa hata lawama tusipewe na mtushukuru sana[emoji23][emoji23]
 
Yule uliyempa ndo unatakiwa umlaumu maan ulishindwa kucheza karata zako fresh

Ili swala mtazunguka mtatafuta sabab ila inabd mkubal aliyekutoa usichana wako ndo kakuchezea sisi wengine tunakamilisha kile ambacho alianza mwenzetu

Ila si mkubali tu kwan vibaya
 
Wanawake sikilizeni kuna kitabia mnacho ambacho binafsi huwa kinatukera sana sisi wanaume. Wanawake nataka niwambie ukweli utakuta mmekwaruzana na demu/mpenzi wako afu anakwambia "nilijua tu utakuja kuniacha na kuchezea usichana wangu".

Kina dada aliyekuharibia usichana wako ni Mwanaume aliyekutoa bikra kisha akakuacha huyo ndo mpe hizo lawama mimi niliyekukuta huna bikra usinipe hizo lawama hata kama nakuacha kiroho safi kuwa mpole, mpe hizo lawama aliyekutoa bikra akauacha. sijakukuta na bikra halafu useme nimechezea ubinti wako .

Wanaume ukiona mwanamke anakwambia hivo, Mwambie aliyeharibu usichana wako aliyekutoa bikra akakuacha mimi hata.

NB: Karibuni 5N mliman hapa kwa aliye karibu tunywe maji.
Hili jambo tutaliweka kwenye katiba ya chama cha wanaume mabachelor Tz (ChawamaTa)
 
Umenifanya nicheke kicheko cha kiboya sana!!
Kutoa bikra sio tamu
Ila siku inayofuata baada ya kutolea ndio tamuuuu
We acha tu kunakuwa na kasumaku Ndani
Ukiweka tu mwaaaaaa
Ukirudia tena mwaaaaaa
Na tena............
 
Dah, kuna msichana alinishikisha, siku ya kwanza kukutana naye baada ya mchezo nikaona damu kwenye shuka, nikajaribu kumuuliza akadai ndio siku yake ya kwanza kuchunguliwa tumboni, asubuhi yake nilijiona kidume nikamporomoshea vizawadi kibao.
Baada ya siku chache nikamuuliza mwezi uliopita uliingia tarehe ngapi mpaka tarehe ngapi, alivyojibu ile tarehe ya mwisho ndio nilikuwa naye. wanawake ninyi, hivi sasa ana mtoto wa jamaa.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hizi lawama mpe kiongoz wetu bibie[emoji23][emoji23]

Sisi wafuasi wala haituhusu. Tena ambao hatujafumania bikira ndo tuachweee kabsa hata lawama tusipewe na mtushukuru sana[emoji23][emoji23]
Usinikumbushe machungu ya hao viongozi, maana siyo kiongozi mmoja[emoji30] [emoji30] , ila ndyo hivo mwenyewe unajua kama tunatumiwa zaidi ukoo
 
Haujajibu swali! Ndiyo kwanini mkamilishe hicho ambacho alianza mwenzenu?
Yule uliyempa ndo unatakiwa umlaumu maan ulishindwa kucheza karata zako fresh

Ili swala mtazunguka mtatafuta sabab ila inabd mkubal aliyekutoa usichana wako ndo kakuchezea sisi wengine tunakamilisha kile ambacho alianza mwenzetu

Ila si mkubali tu kwan vibaya
 
Ana mtoto wa jamaa mwingine au wa kwako wewe?
Dah, kuna msichana alinishikisha, siku ya kwanza kukutana naye baada ya mchezo nikaona damu kwenye shuka, nikajaribu kumuuliza akadai ndio siku yake ya kwanza kuchunguliwa tumboni, asubuhi yake nilijiona kidume nikamporomoshea vizawadi kibao.
Baada ya siku chache nikamuuliza mwezi uliopita uliingia tarehe ngapi mpaka tarehe ngapi, alivyojibu ile tarehe ya mwisho ndio nilikuwa naye. wanawake ninyi, hivi sasa ana mtoto wa jamaa.
 
Hakuna kitu kinasubua kama kutoa bikra. Mpka nawaza hawa naowagegeda kwa raha bila usumbufu kitandani ni kweli walikuwa na bikra maana nikifanya comparison ni usumbufu mpka kero Mara mdondoke kitandani Mara umeng'atwa Mara umepiga boa kwenye shuka Mara kwenye mapaja yake du nimechoka na huo usumbufu. Ni muda sasa huwa nauliza kama ni bikra akae mbali na mm kama sio basi tyajenge
 
Nakujua ila siwezi kukwambia jinsi gani ninavyokujua maana utaanza kunisumbua

Nimemaanisha wale wale team vitombi tu yaani team wanawake wengi
Sasa nikusumbue kivip namimi sio msumbufu kabisa trust me, me sio team wanawake wengi naridhika na ninae kuwa nae mpaka atakapoona yeye inatosha, nasisitiza tena nawaheshim sana wanawake.
 
Wanawake sikilizeni kuna kitabia mnacho ambacho binafsi huwa kinatukera sana sisi wanaume. Wanawake nataka niwambie ukweli utakuta mmekwaruzana na demu/mpenzi wako afu anakwambia "nilijua tu utakuja kuniacha na kuchezea usichana wangu".

Kina dada aliyekuharibia usichana wako ni Mwanaume aliyekutoa bikra kisha akakuacha huyo ndo mpe hizo lawama mimi niliyekukuta huna bikra usinipe hizo lawama hata kama nakuacha kiroho safi kuwa mpole, mpe hizo lawama aliyekutoa bikra akauacha. sijakukuta na bikra halafu useme nimechezea ubinti wako .

Wanaume ukiona mwanamke anakwambia hivo, Mwambie aliyeharibu usichana wako aliyekutoa bikra akakuacha mimi hata.

NB: Karibuni 5N mliman hapa kwa aliye karibu tunywe maji.
Upo

Upo sahihi chief
 
Sawa kaka, lakini ukumbuke bikra inapotoka inatoka na damu na ni agano, usifikiri utabaki salama kucheza nazo tu.
 
Back
Top Bottom