Aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kata (CCM) ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua mkewe

Kajaribu sana kunitega japo nimnase vitasa, nimemuomba Mungu siku ninayoinua mkono kumpiga mwanamke basi mkono upate kiharusi.

Ndugu zangu, kila ndoa ina ladha yake. Lakini ya kwangu nahisi nilifunga ndoa na mshauri wa shetani
Pole sana. Umetumia uamuzi wa busara. Ni heri kukaa mbali na tatizo kama inawezekana kufanya hivyo. Mwisho wa siku maisha yaendelee.
 
Kumnyonga mtu kwa kumkaba mpaka anakufa Kuna vihatua aiseee....
Kwahiyo ilikua majirani wakigonga, jamaa anatoka kujibu halafu anarudi Tena kuendeleza kumkaba...
Kazi ya hasara hii.
 
Jamaa ni katili sana.
Naanza kupata hisia kuwa labda amekuwa anashiriki matukio ya wasiojulikana kwa sababu cheo chake cha Afisa Mtendaji Kata. Mtendaji wa Kata ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Kata. Katibu wake ni OCD

Matukio yote ya extra judicial arrest yanafanywa kwa uratibu wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya chini ya uenyekiti wa DC.

Pata hiyo connection kisha uniambie matukio ya utekaji, utesaji, ufiraji na mauaji kwenye Kata, unamtengaje Afisa Mtendaji Kata ktk hilo.

Huyu mshezi alishazoea kuua bdo maana kila majirani wakija kutoa msaada anawajibu kuwa mkewe anaota na kupiga kelele usingizini.

Jamaa anatakiwa abanwe, ameua wangapi mpaka kuwa na cold heart ya kumuua mkewe kwa hatua nyingi vile
 
Naamini Angekuwa wa Ile team angeboresha kidogo hatua zake, Ili asiache ushahidi wowote au apunguze mark za ushahidi.. kama bwana Vitto ferari ....!
 
Afisa mtendaji yeyote ni position ndani ya structure ya local government, sio ya chama.
 
Back
Top Bottom