Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Yeye mbona hakuandika talaka akamuacha aende zake. Badala yake akamnyonga?Ukiona huelewi mambo, beba vitu Rudi kwenu mama zetu ndo walikua wanafanya hivo, anakusanya kilicho chake ana sepa kwao
Yeye mbona hakuandika talaka akamuacha aende zake. Badala yake akamnyonga?Ukiona huelewi mambo, beba vitu Rudi kwenu mama zetu ndo walikua wanafanya hivo, anakusanya kilicho chake ana sepa kwao
Hapo anajutia lakini kashachelewa..!!Hasira hasara
Huyu Diana katoka familia ya kitajiri pia , kwao ni Arusha, kabla ya kuhamia huko alikuwa NMB YA Arusha ila alikuwa anajitolea.😹😹 Kichwa kilichokosa hekima..!!
Huzuni sana kwa wazazi wa binti, unazaa mtoto unamlea na kumsomesha kwa tabu halafu anatokea kichaa mmoja anakuja kukatisha uhai wake kirahisi tu..!!
Wazee wa zamani waliona mbali kuchagulia mabinti zao familia za kuolewa nazo..!!
Kesi za kipuuzi kama hizi hazikuwepo za koo vichaa kuoa bila kufatiliwa kwa undani..!!
Ni heri umeamua hivyo. Na wala usitishike na lawama za ndugu na walimwengu. Umeepuka vingi. Hii nadharia yako inafaa Kwa wakati huu, kwa Dada zetu na Kaka zetu pia.Mkishindwana achaneni kwa amani
Mimi nimefanya maamuzi ya kumove on. Mke nimishamfuta ktk obolangata na mtima wangu
Hivi kumbe chanzo cha mauaji ni michepuko? Au dhana tu?Wapumbavu sana hata wasikuchoshe mataahira hao..!! 😹
AiseeeAngepotezea tu,
Mie wa kwangu alipozingua 2024 nilimwambia mapema,kuwa ukilala ndani ya nyumba hii nakuchoma moto
Na kweli nilinunua petroli Lita 10,nikawatoa watoto wote nikahamisha vitu vichache
Usiku huo alijiongeza
Hakulala ndani,alilala kwa marafiki zake na kesho akakimbilia Mwanza
Akupindua sana,wiki moja baadae akaanza KAZI ya ubaamedi
Na mpaka Sasa ni baamedi
Nina mwanamke mwingine,na sasa ni mjamzito
Na maisha yanasonga
Ni mtoto wa Mzee Hugo Kisima wa Safari Jewellery?Huyu Diana katoka familia ya kitajiri pia , kwao ni Arusha, kabla ya kuhamia huko alikuwa NMB YA Arusha ila alikuwa anajitolea.
Aliomba akanyimwa?Yeye mbona hakuandika talaka akamuacha aende zake. Badala yake akamnyonga?
Angelala ndani,ningechoma nyumbaKwahiyo ulitaka kumuua mke wako ?
Yes,badala ya kujificha ficha,sasa hivi inachapwa mpaka rahaDuh saiv inapigwa mpaka inazima.😀
Mtaa ndìo unaitwa CCMWatendaji wa kata/mitaa/vijiji ni watumishi wa umma (siyo nyadhifa za kisiasa) hawatambulishwi kwa vyama vyao vya siasa
Hiyo ndio shida ya wanawake wengi sijui kwanini wanashindwa kuwa wakweliKila siku nasema mwanamke ukiona mchepuko ni Bora kuliko mume vunja ndoa kimbia ila we utake kula huku na huku alllo unakutana na watu wana roho mbaya hawakusamehi
Ni wakutafuta kwa tochi....nakumbuka Kuna mama mmoja anafanya kazi bandarini ila ameolewa na ostadh fulan....sasa huyo mama alinunua harrier sasa sielewi ilikuwaje inaonesha ostadh alimuazima mtu ile gari ... aisee mke alikuja kuwasha moto dukan watu wamejaa kibao sasa Kuna maneno aliongea ndipo tukajua kumbe duka amefunguliwa na mkeweMkuu....
Mwanamke kuwa na pesa kumzidi mume wake bado haitoshi kumnyonga.
Kimsingi wapo wake wengi tena wanawazidi waumezao kwa pesa na vyeo lakini anapo rudi nyumbani yeye ni mama na mke tena mwenye utii kwa mume wake.
Inasikitisha sanaHiyo ndio shida ya wanawake wengi sijui kwanini wanashindwa kuwa wakweli
Kajaribu sana kunitega japo nimnase vitasa, nimemuomba Mungu siku ninayoinua mkono kumpiga mwanamke basi mkono upate kiharusi.Ni heri umeamua hivyo. Na wala usitishike na lawama za ndugu na walimwengu. Umeepuka vingi. Hii nadharia yako inafaa Kwa wakati huu, kwa Dada zetu na Kaka zetu pia.