Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Dah! Inasikitisha
Aisee! Alikua ni mke wa ndoa?Angepotezea tu,
Mie wa kwangu alipozingua 2024 nilimwambia mapema,kuwa ukilala ndani ya nyumba hii nakuchoma moto
Na kweli nilinunua petroli Lita 10,nikawatoa watoto wote nikahamisha vitu vichache
Usiku huo alijiongeza
Hakulala ndani,alilala kwa marafiki zake na kesho akakimbilia Mwanza
Akupindua sana,wiki moja baadae akaanza KAZI ya ubaamedi
Na mpaka Sasa ni baamedi
Nina mwanamke mwingine,na sasa ni mjamzito
Na maisha yanasonga
Ndo ya bomaniAisee! Alikua ni mke wa ndoa?
Wasiojulikana he?Ifikie mahali mahakama ya Tanzania itenge mahakama maalum kila mji kwa ajili ya kesi za mambo ya kimahusiano tu. Hii itasaidia kupunguza watu kujichukulia sheria mkononi.
Kabisa ilo ndo kosa hiya pisi ilikuwa sio level yake.😹😹😹 Sasa awafukuze wanaompa tips?
Wewe ungekuwa yeye ungeweza?
Kosa la mtuhumiwa kuogelea kwenye maji sio kina chake..!
Angepotezea tu,
Mie wa kwangu alipozingua 2024 nilimwambia mapema,kuwa ukilala ndani ya nyumba hii nakuchoma moto
Na kweli nilinunua petroli Lita 10,nikawatoa watoto wote nikahamisha vitu vichache
Usiku huo alijiongeza
Hakulala ndani,alilala kwa marafiki zake na kesho akakimbilia Mwanza
Akupindua sana,wiki moja baadae akaanza KAZI ya ubaamedi
Na mpaka Sasa ni baamedi
Nina mwanamke mwingine,na sasa ni mjamzito
Na maisha yanasonga
Kabisa unakuta maneno ya dharau ya mwanamke.Kila mtu afakirie kama angekuwa ni huyo jamaa ,mbaya inawekezekana huyo mwanamke kamletea ujinga jamaa mpaka msela kushindwa kujizuia
Waje nawasubiri, waitane chap! 😹😹Kuwa makini Kuna wamevulugwa
Watakuja wakugeuza ndafu
Au sio? 😹No, sometimes unakuta ni misunderstanding ndogo tu imetokea hasa kwenye kupishana kauli, unasema nimzabe kofi moja kumbe ndo kwaheri, hayo majuto yake sasa ndo huja baada ya tukio.
Mama yako mzazi anawajua. KamuulizeWasiojulikana he?
😹😹😹 Mjinga huyo, mishangazi yote tuliyojaa dar anaanzaje kulilia kei ya kupimiwa? Anajiendekeza mpuuzi huyo kavuna alichopanda..!!Kuandika ni rahisi zaidi kama hayajakukuta.Muhukumiwa ni mjinga,muovu, shetani na jahili kwa sababu hana udugu wala uhusiano nawe.
Ni mpuuzi kweli😹😹😹 Mjinga huyo, mishangazi yote tuliyojaa dar anaanzaje kulilia kei ya kupimiwa? Anajiendekeza mpuuzi huyo kavuna alichopanda..!!