Aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kata (CCM) ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua mkewe

Aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kata (CCM) ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua mkewe

Sio huzuni kwa wazazi wa Binti , hata kwa wazazi wa kijana,kumbuka wazazi wanemsomesha kwa gharama,sasa anaenda kusotea jera.

Chukulia huyo mtendaji ni kaka au mdogo wako,au ni kijana wako!!
Wote wanaumia lakini kwa mwanamke maumivu ni makubwa..!!

Upande wa kiumeni wao wanasimama kama wauaji na kikeni wanasimama kama victims..!!

Hao walikuwa na uwezo wa kwenda kumsalimia ndugu yao mahabusu tofauti na wenzao waliopokea mwili ukiwa hausemi chchote..!!
 
Hamna wanaume mna wivu wa kijinga.
Kilichomfanya huyo mtuhumiwa aue ni kuhisi hana thamani na kama akimuacha basi wanaume wenzie watafaidi..!!

Wanaume hampendani, mbona sisi tukiwafumania tunalia tunafuta machozi tunaendelea mbele..!! 😹
Sahihi,
Natafuta Ajira tunaomba uzi wa wanaume dhaifu ving'ang'anizi kwa wanawake na wanaume kutopendana.
 
Wanawake tuna huruma sana..!!
Unafikiri tunashindwa kuwawekea sumu na chakula tunaandaa sisi?

Ni vile tunaangalia mustakabali wa familia nzima kuliko kutanguliza ubinafsi..!!
Kuandika ni rahisi zaidi kama hayajakukuta.Muhukumiwa ni mjinga,muovu, shetani na jahili kwa sababu hana udugu wala uhusiano nawe.
 
Kama imethibitika ameuwa anastahil adhabu aliopewa.

Meanwhile Samia Suluhu Hassan ameuwa maelfu na anaendelea kuuwa anadunda na kutafuta sababu ya kuwasingizia wenziwe ili yeye aendelee kuwa huru.

Hakika Hakim ni Allah peke yake.
 
Ndoa za kizazi hiki zina heka heka sana.

Imagine mume bado kijana una miaka 32 tu, unaua mke wako.

Huku umri huo bado kijana mbichi una nafasi kubwa ya kuoa mke mwingine
Angepotezea tu,

Mie wa kwangu alipozingua 2024 nilimwambia mapema,kuwa ukilala ndani ya nyumba hii nakuchoma moto

Na kweli nilinunua petroli Lita 10,nikawatoa watoto wote nikahamisha vitu vichache

Usiku huo alijiongeza

Hakulala ndani,alilala kwa marafiki zake na kesho akakimbilia Mwanza

Akupindua sana,wiki moja baadae akaanza KAZI ya ubaamedi

Na mpaka Sasa ni baamedi

Nina mwanamke mwingine,na sasa ni mjamzito

Na maisha yanasonga
 
Kila siku nasema mwanamke ukiona mchepuko ni Bora kuliko mume vunja ndoa kimbia ila we utake kula huku na huku alllo unakutana na watu wana roho mbaya hawakusamehi
Hii ni nzuri, wanawake wa siku hizi anataka apigwe Pumbu huku na kule na wakati huo huo Paige hela tena huku na kule. Hadi wanatajirika
 
Dada amevipiga vita ila akakatishwa mwendo na huyo kichaa... hakuna sababu yoyote inayohalalisha mauaji. Ifikie mahali mahakama ya Tanzania itenge mahakama maalum kila mji kwa ajili ya kesi za mambo ya kimahusiano tu.

Hii itasaidia kupunguza watu kujichukulia sheria mkononi. Watanzania wazoee kwenda mahakamani badala ya kuuana.

Nilisoma kwenye media moja ya Zambia mwanamke kampeleka jamaa yake mahakamani akitaka mahakama imuamuru jamaa wapige naye show moja ya mwisho kabla hawajaachana.
 
Dada zetu mkiolewa na Wachaga n ikatokea akabaini una msaliti, yaani unatoa K kwa Mwanaume mwingine tofauti na yeye, tena mnapokuwa na huyo Mwanaume unainyonya, unaikatikia na bado ikichomoka unairudishia, siku Mwanaume wa kichaga akagundua hilo basi sali sala zako za mwisho maana muda mfupi ujao mwili na roho vinaenda kutenganishwa.
 
Back
Top Bottom