Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba hukumu za vifo huwa hazisainiwi/kuridhiwa/kuidhinishwa na mamlaka ya mwisho kimaamuzi.Hivyo,muhukumiwa huwa anabaki jela tu bila utekelezaji.Nyie wanaume mkichepuka mnauliwa?
Yeye kwanini asingemuacha aendelee na maisha yake?
Sasa hapo kapata faida gani maana wote parapanda imelia..!!