Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kama mwanaume ni mzima wa akili itakuwa ni mapenzi tu, either michepuko au kuonekana heshima hakuna.Lakini pia mleta habari hajatuambia sababu iliyopelekea mauaji hayo.
Kama mwanaume ni mzima wa akili itakuwa ni mapenzi tu, either michepuko au kuonekana heshima hakuna.Lakini pia mleta habari hajatuambia sababu iliyopelekea mauaji hayo.
Wanaume wenye pesa wanawatesa na kuwanyanyasa sana wanaume wenzao😹😹😹 Sasa awafukuze wanaompa tips?
Wewe ungekuwa yeye ungeweza?
Kosa la mtuhumiwa kuogelea kwenye maji sio kina chake..!!
Adui wa mwanaume ni mwanaume mwenzie..!! 😹Wanaume wenye pesa wanawatesa na kuwanyanyasa sana wanaume wenzao
Naona mmekomaa na Afisa Mtendaji tu bila kuenenda kwa urari na marehemu.Moise unanichosha na maswali yako bana 😹
Sasa hayo maswali yote mi Hakimu wa hiyo kesi mpaka uniulize?
Sio wote wanao pendelea makebo aiseee....😹😹😹 Ayiiiiii
Tatizo lenu hamuwapi nafasi wale wanaowapenda nyie mnataka makalio 😹😹
Linapokuja suala la mke wanaume wengi hawajielewi.Sio wote wanao pendelea makebo aiseee....
Linapo kuja swala la mke, mwanaume mwenye kujielewa huangalia mambo mengi zaidi ya sura, umbo na makebo.
Kubalance story ni muhimuNdoa inapomilikiwa na chizi haya ndio huwa matokeo..!!
Basi nisawa tu mkuu, ngoja wakanyongwe hadi kufaLinapokuja suala la mke wanaume wengi hawajielewi.
Imani yao iliwaasa waendelee kubanana hadi kifo kiwatenganishe.Mkuu...
Kama mwanamke hakufai, ebu muache aiseee
Hamna wanaume mna wivu wa kijinga.Badala ya kumsimanga mume pekee ni vema kupata funzo na kujiombea mema.
Sio kwa bongo hii 😹😹Sio wote wanao pendelea makebo aiseee....
Linapo kuja swala la mke, mwanaume mwenye kujielewa huangalia mambo mengi zaidi ya sura, umbo na makebo.
Na huo ndio uwanaume sio kuanza kuuana..!!Kubalance story ni muhimu
NB. Mapenzi yaki Isha Kila mtu apite na njia yake.. hakuna haja ya kuuwana
Tunaumia Sana, tunaona hiyo ni dharau kubwa mnoKuchapiwa nayo big issue mpaka uue?
Si angemuacha avute mtoto mbichi..!! 😹😹
Kila siku nasema kwenye mapenzi wanaume mnaumia sana kuliko sisi wanawake ni vile tu mnapenda kujipiga vifua hapa jukwaani..!! 😹
Mkiwa hamjaiona sumu karibu ni sawa mtafanya hivyo.Hamna wanaume mna wivu wa kijinga.
Kilichomfanya huyo mtuhumiwa aue ni kuhisi hana thamani na kama akimuacha basi wanaume wenzie watafaidi..!!
Wanaume hampendani, mbona sisi tukiwafumania tunalia tunafuta machozi tunaendelea mbele..!! 😹
Sio huzuni kwa wazazi wa Binti , hata kwa wazazi wa kijana,kumbuka wazazi wanemsomesha kwa gharama,sasa anaenda kusotea jera.😹😹 Kichwa kilichokosa hekima..!!
Huzuni sana kwa wazazi wa binti, unazaa mtoto unamlea na kumsomesha kwa tabu halafu anatokea kichaa mmoja anakuja kukatisha uhai wake kirahisi tu..!!
Wazee wa zamani waliona mbali kuchagulia mabinti zao familia za kuolewa nazo..!!
Kesi za kipuuzi kama hizi hazikuwepo za koo vichaa kuoa bila kufatiliwa kwa undani..!!
😹😹😹 poleni sana tunajua hamna pa kutolea maumivu yenu zaidi ya kujivisha umwamba jukwaani..!!Tunaumia Sana, tunaona hiyo ni dharau kubwa mno
Huo ndio ukomavuu ni kujifunza KU LET IT GO.Na huo ndio uwanaume sio kuanza kuuana..!!
Wanawake tuna huruma sana..!!Mkiwa hamjaiona sumu karibu ni sawa mtafanya hivyo.
Nilipokuwa mdogo nilikuwa ninawaza kama ulivyoandika.Hatujui nini kikubwa kilitokea kati ya hao wawili.Kutoa hukumu ni kujipotosha tu.Kama ni rahisi hivyo,omba sana kwa Imani yako yakutokee ili upate cha kushuhudia mbele za umma.Huo ndio ukomavuu ni kujifunza KU LET IT GO.
Mimi ntafuta namba badilisha mazingira kama tuna watoto/ mtoto nawachukua na cut off Kila kitu
Life GOES On